THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa maslahi mapama ya Taifa.
Kukaa kimya kwenye haya halafu mnakuja mnatuletea Nyuzi za kuchambua Katiba iliyopitwa na wakati na linajulikana tuwaone kama wa maana ni uongo.
Ni Bora hizo Thread mziite kwa Maslahi ya chama au kwa Maslahi yako Binafsi.
#MunguIbarikiTz.