Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake. Sasa akili kichwani juu ya kuunga juhudi mkono

Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake. Sasa akili kichwani juu ya kuunga juhudi mkono

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake ila akilini zenu mnazijua wenyewe kesho kalamu zenu ziunge juhudi mkono juhudi maana memory life span zinatofautiana kazi kwenu naamini mtanielewa.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mama Kabendera pia pole sana kwa Kabendera kwa kukosa kumuona mama yako milele hutamuona Atena milele hata mwili wake hutauona Atena milele na milele ila piga moyo konde ipo siku isiyo na jina Mungu atakulipia kisasi cha haki.
 
Kila mwanadamu kuna kitu kipo ndani yake hichi kitu kipo kama kikohozi huwezi kukificha.
 
Utafiti mpya wa umoja wa mataifa unaonyesha bongo ndio nchi ya kwanza duniani inayoongoza kwa unafiki!
 
One day morning when this life is over I know I'll see your face.[emoji445][emoji445][emoji443][emoji817]
 
wataelewa tuu, hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya timu (in morinyo's voice)
 
.
masoudkipanya_B62FJ1KDOIG.jpeg
 
R.I.p mama kabendela nisje sema zaidi
Waandishi wa habari mmeona ya kabendera na mama yake ila akilini zenu mnazijua wenyewe kesho kalamu zenu ziunge juhudi mkono juhudi maana memory Life span zinatofautiana kazi kwenu naamini mtanielewa.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya mama kabendera pia pole Sana kwa kabendera kwa kukosa kumuona mama yako milele hutamwona Tena milele hata mwili wake hutauona Tena milele na milele ila piga moyo konde ipo siku isiyonajina Mungu atakulipia kisasi cha haki!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom