Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Nina uhakika 'angehojiwa' na Bingwa wangu wa Kuuliza Maswali Aloyce Nyanda wa Star Tv huyu Lissu wenu asingekaa hata Nusu Saa tu angesusa.
Sema tisiaraei wangekata matangazo.. na nyanda angeondolewa kazini kwa maswali ya uchochezi dhidi ya serekale
 
Hayo maswali yanahusiana vp nakupigwa risasi Lissu?
 
Hayo maswali yako mepesi sana hata mimi ningeyajibu na pia hayo maswali hayakuulizwa kwababu majibu yake alishaulizwa kwenye media tv za nje sasa unataka aulize tena apate majibu yaleyale tafuta alivyohojiwa lisu na bbc, ktn, utapata majibu yake

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Swali namba 2,hv ni kwel serikali imeshindwa kuchukua hatua japo kw hao maadui zake wakafikishwa mahakamani
 
Hivi hawa waandishi wangekuwa wanajifunza waandishi kama Tim Sebastian wa hard talk wanavyoulizwa maswali, unapomhoji mgombea urahisi inabidi ujiandae kuliko yeye anavyojiandaa siyo kukaa na kumchekeachekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…