kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Means (mkutano wa waandishi wa habari)unajua maana ya press conference kwanza,
tuanzie hapo, kabla ujawazodoa watu wenye taaruma zao
Wanafuata habari ambazo vijana wengi wanapenda kusikia maana ukiwawekea habari za maana hata hawasomi wala kuzifuatiliaImejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake tanasha Donna.
Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake tanasha Donna.
Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT
Noma kweli
ExactlyElimu ndogo ndio tatizo linalowasumbua huku wakipenda vitu rahisi na vya mlipuko
Jr[emoji769]
Na walimuuliza kuhusu mahusiano yake na Tanasha jamaa akagoma kujibu wanahabari wetu wana akili finyu Sana.Hivi kweli kabisa mtu unaandaa press conference kwa ajili ya kuzungumzia kuachana na mpenzi yako? Really? Seriously? πππ
Na walimuuliza kuhusu mahusiano yake na Tanasha jamaa akagoma kujibu wanahabari wetu wana akili finyu Sana.