kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii Diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake Tanasha Donna.
Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT