Waandishi wa habari waumbuka

Waandishi wa habari waumbuka

kibla matata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
412
Reaction score
380
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.

Msanii Diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake Tanasha Donna.

Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT
 
Unajua maana ya press conference kwanza,
tuanzie hapo, kabla ujawazodoa watu wenye taaruma zao
 
unajua maana ya press conference kwanza,
tuanzie hapo, kabla ujawazodoa watu wenye taaruma zao
Means (mkutano wa waandishi wa habari)
Niliwasikia waandishi wengi wakidai kwamba wameenda kwa ajili ya kujua habar yeye na mpenzi wake
 
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake tanasha Donna.

Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT
Wanafuata habari ambazo vijana wengi wanapenda kusikia maana ukiwawekea habari za maana hata hawasomi wala kuzifuatilia
 
Hii inaonyesha hata mtoa post mwenyewe unapenda umbeya na ni mmoja wa ile timu inayosapoti ujing...
 
Elimu ndogo ndio tatizo linalowasumbua huku wakipenda vitu rahisi na vya mlipuko
Imejidhihirisha kwamba media za bongo,na watanzania ni watu ambao wanapenda sana umbea umbea kuliko mambo ya msingi.
Msanii diamond plutnum, alivyotangaza kuzungumza na waandishi wa habari,walijazana sana wakijua kwamba ataongelea habari za yeye kuachana na mpenzi wake tanasha Donna.

Waandishi wa habari wanatumiwa na wasanii wajanja kukuza brand za wasanii,pasipo kujua wao.
Diamond yeye aliongelea ubarozi wake mpya pamoja na mkataba aliopewa na CORAL PAINT

Jr[emoji769]
 
Hivi kweli kabisa mtu unaandaa press conference kwa ajili ya kuzungumzia kuachana na mpenzi wake? Really? Seriously? 😂😂😂
 
Hivi kweli kabisa mtu unaandaa press conference kwa ajili ya kuzungumzia kuachana na mpenzi yako? Really? Seriously? 😂😂😂
Na walimuuliza kuhusu mahusiano yake na Tanasha jamaa akagoma kujibu wanahabari wetu wana akili finyu Sana.
 
Back
Top Bottom