Waandishi wa habari za kiuchunguzi Tanzania, wapo wapi kuandika juu ya manabii na mitume hapa nchini ili kuokoa kizazi cha nchi hii?

pia ni vigumu kutofautisha manabii hao na habari za waandishi, manzi ga nyanza, Yale Yale tu
 
Nyerere ameiharibu hii nchi pakubwa sana , amewanyima uhuru wa kujieleza wa tz ,

Akadanganya kuwa kila nchi Ina democracy yake.
Kuweka TV ikulu huku wananchi wako ikiwazuia wasimiliki TV, bali wasikilize propaganda za radio ya chama chake pekee.
Lakini matokeo yake alifeli kila kitu.
 
Kiboko ya Wachawi alipokuwa bsdo yupo Buza aliandaa party kwenye boat ya kifahari bahari kwa Waandishi wa Habari
Si waadishi ndio wamekuwa WAHANDISI wa Habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…