GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa.
Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa Habari tulitaka Kumhoji Kocha Mkuu wa Taifa Stars tukafukuzwa Media Center Mkapa Stadium huku Msemaji wa TFF nae Clifford Ndimbo akija na Kutuambia tuuchune na Meneja wa Taifa Stars Nadir Haroub Cannavaro nae akitusukuma Kibabe Waandishi wa Habari za Michezo" amesema Mtangazaji wa Sports Headquarters ya EFM Abdulrazaq Majid muda mfupi uliopita katika Kipindi chao cha Michezo cha Asubuhi hii.
Mtizamo wangu Kwenu Waandishi wa Habari za Michezo nchini Tanzania kwa mnayofanyiwa na mliyofanyiwa kwa Unafiki, Ujuha wenu na Kutumika Kwenu Kipumbavu GENTAMYCINE naomba mzidi Kunyanyasika huko na hata Kupigwa ikiwezekana kwani nyie ndiyo Sumu ya Maendeleo ya Soka la Tanzania kwa Uandishi na Utangazaji wenu wa Kiunazi na Kinafiki.
Hovyoooooooo......!!!!!!