Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Hao ni vijana wa CDM - CCM hawawezi kufanya vitendo hivyo
Huo ni mchezo wa CCM wa miaka yote, na ikifika nyakati za chaguzi hufanya mambo hayo kwa uwazi zaidi. Na mara zote hufanya hivyo kwa kushirikiana na vyombo vya dola.

Ushirikiano huu na vyombo vya dola kwenye kufanya uhalifu, ndio nguzo yao kuu ya kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Nitakutesa sana, na bado.
Wqjitesa mwenyewe....
Mana hulali kutwa kucha bandari bandari bandari...
Anyway yaweza kuwa umepata deiwaka kwenye hii issue, nayo ni maisha ati!
 
Huyu shetani jiwe ndiye mwanzilishi wa ushetani unaofanywa na uvccm.

Kwahiyo kumsifia jiwe kwa kukataza mikutano ya hadhara kunahitaji mtu uwe kichaa ambaye hujaanza dozi.
Wanufaika wa lile shetani lazima walisifu tu
 
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Green gadi aka Wagner wameisha fanya yao,hivi kama mkataba ni mzuri kuana ajagani ya kuzua watu kujadili?
 
Back
Top Bottom