Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Hao ni vijana wa CDM - CCM hawawezi kufanya vitendo hivyo
Huo ni mchezo wa CCM wa miaka yote, na ikifika nyakati za chaguzi hufanya mambo hayo kwa uwazi zaidi. Na mara zote hufanya hivyo kwa kushirikiana na vyombo vya dola.

Ushirikiano huu na vyombo vya dola kwenye kufanya uhalifu, ndio nguzo yao kuu ya kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Nitakutesa sana, na bado.
Wqjitesa mwenyewe....
Mana hulali kutwa kucha bandari bandari bandari...
Anyway yaweza kuwa umepata deiwaka kwenye hii issue, nayo ni maisha ati!
 
Huyu shetani jiwe ndiye mwanzilishi wa ushetani unaofanywa na uvccm.

Kwahiyo kumsifia jiwe kwa kukataza mikutano ya hadhara kunahitaji mtu uwe kichaa ambaye hujaanza dozi.
Wanufaika wa lile shetani lazima walisifu tu
 
Green gadi aka Wagner wameisha fanya yao,hivi kama mkataba ni mzuri kuana ajagani ya kuzua watu kujadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…