Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati

Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania.

Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa wajibidishe kujua historia na jiografia
 
In 1884, Spain claimed a protectorate over the coast from Cape Bojador to Cape Blanc, and the area was later extended. In 1958, Spain combined separate districts together to form the province of Spanish Sahara.

A 1975 advisory opinion by the International Court of Justice on the status of the Western Sahara held that while some of the region's tribes had historical ties to Morocco, they were insufficient to establish "any tie of territorial sovereignty" between the Western Sahara and the Kingdom of Morocco. In November of that year, the Green March into Western Sahara began when 300,000 unarmed Moroccans, accompanied by the Moroccan Army armed with heavy weapons,[verification needed] converged on the southern city of Tarfaya and waited for a signal from King Hassan II of Morocco to cross into Western Sahara. As a result of pressure from France, the US, and the UK, Spain abandoned Western Sahara on November 14, 1975, going so far as to even exhume Spanish corpses from cemeteries. Morocco later virtually annexed the northern two-thirds of Western Sahara in 1976, and the rest of the territory in 1979, following Mauritania's withdrawal.
On February 27, 1976, the Polisario Front formally proclaimed the Sahrawi Arab Democratic Republic and set up a government in exile, initiating a guerrilla war between the Polisario and Morocco, which continued until a 1991 cease-fire. As part of the 1991 peace accords, a referendum was to be held among indigenous people, giving them the option between independence or inclusion to Morocco. To date the referendum has not been held because of questions over who is eligible to vote.
 
Ueleweki.

Pitia msimamo wa TAIFA LETU.


 
Ueleweki

Ni kwamba waandishi wetu hawa jui kiini cha Mgogoro wa Morocco na Algeria, kuhusiana na Team za Morocco kuweka sehemu ya Sahara kwenye Ramani Yao , huku Algeria akipinga jambo Hilo. Hivyo baadhi ya waandishi wetu wanafikiria kuwa Algeria anapinga sababu sehemu hiyo ilikuwa ya Algeria, wakati sio hivyo , ila Algeria wanawaunga mkono WA saharawi kuwa na nchi Yao na si kuwa sehemu ya Morocco
 
Title at least ingesomeka "Waandishi wa Habari Tanzania Ijueni Historia ya Sahara Magharibi" na sio kuweka paragraph nzima kama title hadi imekatwa maneno ya mwishoni.
 
Like wapi?

Naona unatuchosha bure!
Namba 7
Unajichosha mwenyewe Kwa kuwa mzito kuona kilicho Bora. Kama hao waandishi wasio jua historia ya Sahara na wapi ilipo
 
Back
Top Bottom