johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini tusiwaige kama haki za msingi zinapuuzwaKiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
Usifananishe Watu wanaojielewa na miz*ga inayotembea. Kenya iko level za ulaya kwenye watu kutambua haki na wajibu wao.Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
They are in the right track.Mama Africa, pray for kenyansπ’
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
Hujamalizia. Sisi tuliokufa tufanyeje?Wakenya walikuwa usingizini wameamka.
Waganda walikuwa mahututi wameanza kupona
Tangua waanze kuandamana uchumi wa kenya umeshuka? Shilling yao vs ya tz ikojeKiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
Wale Moody wamewaweka kwenye Uchumi wa high riskTangua waanze kuandamana uchumi wa kenya umeshuka? Shilling yao vs ya tz ikoje
Kwani ufisadi sio athari za kiuchumi ama uko biased mkuu.Kenya Watalii wameanza kutimkia Tanzania sisi nao tukilianzisha sijui watatimkia Botswana?!
Athari za kiuchumi kutokana na Maandamano yaliyochanganyika na ghasia na uporaji sasa ni dhahiri.