Waandishi waandamana Kenya, Rais Ruto kuhutubia Taifa Leo saa 7:00 mchana. Tanzania tusiwaige Wakenya!

Waandishi waandamana Kenya, Rais Ruto kuhutubia Taifa Leo saa 7:00 mchana. Tanzania tusiwaige Wakenya!

Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo

Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa

Wahuni siyo Watu 😂
Kwanini tusiwaige kama haki za msingi zinapuuzwa
 
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo

Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa

Wahuni siyo Watu 😂
Usifananishe Watu wanaojielewa na miz*ga inayotembea. Kenya iko level za ulaya kwenye watu kutambua haki na wajibu wao.
 
Cheka leo kesho utalia!!! KAMA UMEJUA MAANA YAKE NI FURAHA.lakini kama unajifurahisha kwa maisha ya leo tuu basi wakati unakuja wa kulia na kusaga menp.
 
Sasa si mpaka uwafundishe watz wajue wanacho enda kuandamania ni nini. Kwani unafikiri wanajua basi shida ni nini ? Wanajua tu Samia anazingua lakini hawana hoja.. Sasa barabarani wataingia kufanya Nini
 
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo

Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa

Wahuni siyo Watu 😂

Usiseme Watanzania tusifikirie ..... Haya yatakuja tu automatically bila kufiria kama viongozi wetu wataendelea na tabia zao za sasa.

Hivi kweli unafikiri Mmasai kwa sasa hana hasira na Serikali. Au kwa akili tu ya kawaida, unategemea kuwa Walimu au PoliCCM wanafuraha .... Je Bodaboda ni kweli wameridhika au Wakulima wa nchi hii wanaishi kwa raha .... Ni kweli MACHAWA wanafurahia maisha ya sasa ... maswali ni mengi.
 
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo

Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa

Wahuni siyo Watu 😂
Tangua waanze kuandamana uchumi wa kenya umeshuka? Shilling yao vs ya tz ikoje
 
Kenya Watalii wameanza kutimkia Tanzania sisi nao tukilianzisha sijui watatimkia Botswana?!

Athari za kiuchumi kutokana na Maandamano yaliyochanganyika na ghasia na uporaji sasa ni dhahiri.
Kwani ufisadi sio athari za kiuchumi ama uko biased mkuu.
 
Back
Top Bottom