Naona wamekong'o twaHawa ndo waliohongwa fedha za dp w
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wamekong'o twaHawa ndo waliohongwa fedha za dp w
Duh!! Suti nyeusi bado hawajambadilishia majukumu hadi sasa? Miaka 15 now, naikkumbuka kazi moja ilikua gumzo sana nchini Tanzania. Nadhani hapo ndiyo walianza kum drag in Mzito Mkabwela, huyu Msaki ndiye alianza kuchezeshaDenis Msacky,
Kaka siyo kwamba hawajui ila Hawa MACHAWA wanaotengeneza stori za afu lela u lela Ili kumfurahisha mwenye enzi Ili ionekane duniani kwamba wamasai wanahama Kwa hiari yao, yaani sasa hivi ukiongea utopolo weye kuonesha UCHAWA utafumuliwa hata prof ASSAD anajuaKuna mambo mengine ni sisi media tunajitakia!, unless umekwenda kwenye IJ, ndio unakwenda incognito, lakini ukienda mahali popote wewe ni Mgeni hapo, pays a courteous call to authorities, eleza nia yako, kisha endelea na kazi yako, no one will touch you!.
P
Hajaenda kabaki na TAULO nyumbani angekanyaga sasa hivi angekuwa kavaa KABOKAVp kitenge haendi huko
Ova
Tangu sakata la bandari lianze kakabwa na udiniZitto amekwisha kabisa mimi kumbe nilikuwa sijamjua vizuri😆😆
Hadi nimeshangaaTangu sakata la bandari lianze kakabwa na udini
OICOrganisation of Islamic Countries.
Habibu mchange ndiyo naniAkina Mchange wako Mwananchi?!
Kijana wa Sipiriani!Habibu mchange ndiyo nani
sipiriani musibaKijana wa Sipiriani!
Na handoVp kitenge haendi huko
Ova
Mchange wangepiga wamuue mshenzi yuleDuuh aisee kila kona unasikia matukio tu ya kuumizana
Niko chimbo naitafuta, wamasai wametenda hakiVideo tafadhali