Waandishi wetu wa Habari wekeni Tanzania na haki mbele kuliko ushabiki

Waandishi wetu wa Habari wekeni Tanzania na haki mbele kuliko ushabiki

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana kwamba una support kila kitu hata ubanaji wa haki na demokrasia ya wananchi. Huu uchaguzi ulivyoenda huwezi kuwa na upendo na nchi na kuunga mkono wakati kuna wizi wa wazi, kura hazilingani zikijumlishwa, usalama wa taifa kuwepo kwenye vituo na kutoa maelekezo n.k.

Natoa wito wa waandishi wetu kuacha ushabiki imefikia wakati waandishi wetu watu hawaaamini tena. Waandishi wamekuwa ndiyo wabezaji wa watu kunyanyashwa kibaya zaidi hawajui hata wanacho kitetea. Mnatetea kitu ambacho hata Waandishi wenyewe kinaweza kuwamaliza. Kama mkiruhusu demokrasia ipotee hata waandishi mtapigwa kufuli msiwepo kabisa
 
Hili ni kweli aisee...

Wandishi zaidi ya kumi naa... anayeuliza swali ni mmoja, tena swali moja jepesi kabisa...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom