Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Wanunulie kinywaji kuwanyamazishaUsiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
Mwe!Wanunulie kinywaji kuwanyamazisha
Huwa sipendagi, naendaga chimbo ambalo halina hata tv grocery ya mtaa tu, kelele za mpira noo..Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
NyoooMwe!
Zinakera mno kelele zao,mimi mpaka saa nyingine nikijua kuna mpira sehemu ninayoenda mara kwa mara siku hiyo huwa nahairisha kwenda, halafu kwenye zile bar kubwa zenye TV nyingi unakuta hata kama zilikuwa zinaonyesha movie zote wanaweka mpiraHuwa sipendagi, naendaga chimbo ambalo halina hata tv grocery ya mtaa tu, kelele za mpira noo..
Karaha tuUkitoka hapo unajihisi kama vile ulikuwa Trafford ama bunju complex.. shangwe la kutosha
Sio kweliMsiopenda kelele za mpira ni wazinzi
Wangekuwa wanaenda kwenye mabanda yao special ya mpira,sio kila mteja bar anafagilia mpiraWanaokera zaidi ni wale wanaosimama ovyo na kuziba wengine wakitafuta umaarufu, na tena anasimama mbele na kutaniana kwa kelele kubwa na mtu alie kaa back bench ili wote tuwasikilize, wabongo tuna tatizo la akili maana inashangaza sana watu kupenda kelele ,inaitwa noise pollution!
Nilikuwa nagonga ile nyama ambayo watu flan wanadai mnyazi mungu wao kawazuia kulaHapo utakuta umekaa unakunywa mirinda yako, hauwaelewi kabisa
Ni kweli ila mnawasumbua hata wasiopenda mpiraRaha ya mpira vibe
ni kweli lakini mpira bila kelele haunogi sio sawa na mtu anayetazama movieNi kweli ila mnawasumbua hata wasiopenda mpira