wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Acha ungese wewe heshimu kila mtu humu tuko wa heshimiwa acha kusema takatakaTatizo lipo kwako kuamini takataka za humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ungese wewe heshimu kila mtu humu tuko wa heshimiwa acha kusema takatakaTatizo lipo kwako kuamini takataka za humu
Ungemueleza kistaarabu bila ya kutumia hilo neno ungekuwa umeleta maana ya unayoyasema ila bado.Acha ungese wewe heshimu kila mtu humu tuko wa heshimiwa acha kusema takataka
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Thank you dear we deeply Appriciate your Caring..[emoji3][emoji3][emoji3]
#Muungwana_John
Wahusika mnaitwa huku
Ngoja nishuke kwenye daladala nitachangia vizuri
Ila jf bwana ni kwenda nayo hivyo hivyo inavyoenda tu na watu wake
Bila fiksi nyie hamuendi mzigua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli utakuta mtu anafantasize yuko gari yake ac kali kweli kweli kumbe tumepanda nae daladala za gongo la mboto na joto kama loteeee ila huku analeta story za gari ya ac
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yangu my foot ulininunulia wewe au wengine sisi zetu ni kusimamia bomba tu za madala dala
Sawasawa...Sawa sawa nimewapata wanazengo nitajirekebisha.
Baizewei, nawapata vizuri kabisa.
Sory limenitoka kaniuzi sana eti taka taka katudharau sanaUngemueleza kistaarabu bila ya kutumia hilo neno ungekuwa umeleta maana ya unayoyasema ila bado.
AiseeeeMara nyingi humu mimi huwa nafanya masihara tu,mengi ninayochangia ni tofauti na jinsi ninavyoishi in real life!
Huku kuchukulie tu kama kulivyo hutapata shida!
Hahahaa fanya kama unatutag basi tujijue tulikosea wapi.
Maana unakuta mtu kaandika uzi miezi sita nyuma, leo kaja na uzi mwingine kinzani Ukitaka kufanya referencing ya uzi wake unakutana na linukta likubwaaa![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila nawewe shoga huna dogo kwa kweli, ipo siku tutakuta screenshot zetu za pm hapa.[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Mkuu?
Kila m2 tajiriiiiiiiiiiiiiiJF kila mtu tajiri. Hatumii Wereva na hapandi daladala. Uongo mwingi kuliko ukweli. Ishi ukweli wako hapa panachanganya sana.
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]