Waanzisha/Wachangiaji Thread Chit Chat na MMU Mna Tabia za Sigara Kali

Waanzisha/Wachangiaji Thread Chit Chat na MMU Mna Tabia za Sigara Kali

Ndio maana mimi nikikuona kwenye uzi wowote mwenza nakuchokoza tupige tu stori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf we ichukulie kama ilivyo tu mama, we soma changia then sepa au uniite tupige story[emoji6].
Wengine huwa tunaandika fantancy zetu tu humu. Sasa uhalisia utusodome na ndoto pia tusiote jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom