Waanzisha/Wachangiaji Thread Chit Chat na MMU Mna Tabia za Sigara Kali

Mara nyingi humu mimi huwa nafanya masihara tu,mengi ninayochangia ni tofauti na jinsi ninavyoishi in real life!

Huku kuchukulie tu kama kulivyo hutapata shida!
 
Hahahaa fanya kama unatutag basi tujijue tulikosea wapi.

Maana unakuta mtu kaandika uzi miezi sita nyuma, leo kaja na uzi mwingine kinzani Ukitaka kufanya referencing ya uzi wake unakutana na linukta likubwaaa![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila nawewe shoga huna dogo kwa kweli, ipo siku tutakuta screenshot zetu za pm hapa.[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa.. ingekua sio kosa kuna watu tungeshaweka pm zao basi tu ni kosa. Kuna mtu anakufika hapaaa halafu kazi kushinda pm. Shukuruni yani kuleta ya pm ni kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF kila mtu tajiri. Hatumii Wereva na hapandi daladala. Uongo mwingi kuliko ukweli. Ishi ukweli wako hapa panachanganya sana.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…