theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Unamjua mtu anaitwa sexless ndio utachoka kabisaWahusika mnaitwa huku
Ngoja nishuke kwenye daladala nitachangia vizuri
Ila jf bwana ni kwenda nayo hivyo hivyo inavyoenda tu na watu wake
Huyo asiyeeleweka jinsia yake anabadilika kutokana na mazingira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf we ichukulie kama ilivyo tu mama, we soma changia then sepa au uniite tupige story[emoji6].
Wengine huwa tunaandika fantancy zetu tu humu. Sasa uhalisia utusodome na ndoto pia tusiote jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana mimi nikikuona kwenye uzi wowote mwenza nakuchokoza tupige tu stori
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss uuHuyo asiyeeleweka jinsia yake anabadilika kutokana na mazingira
Mh we dada unataka kuniibia nini hivi umenimiss nini juzi si tulichat wassap mpaka usiku sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf nimekumissMh we dada unataka kuniibia nini hivi umenimiss nini juzi si tulichat wassap mpaka usiku sana
Kumbe jf haya na mm nimekumiss huku mwaya
[emoji16][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]yaani weweeKumbe jf haya na mm nimekumiss huku mwaya
Tambua ukimuong,opea mtu pasipo yeye kujua jua kuwa unajiong,opea mwenyewe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app