Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

Mpaka leo sijapata kuelewa kwa nini myahudi anachukiwa sana hivo , binafsi kama mwafrika hanizuii kuswali wala chochote , hapa dar nimejuana na 3 jews hivi . Yaani ni watu na maisha yao hawana hiyana na mtu yyte .
Hii chuki tumejengeana ni ya nini , udini utaua hii dunia
 


Wanachokifanya ao waarabu na kilichofundishwa na uislamu ni vitu viwil tofaut
 
Mimi sishabikii wayahudi kisa Ukristo wangu, nawashabikia maana wanatembeza kichapo kwa mazombi wenu, yaani yeyote anayetembeza kichapo kwa mazombi wenu iwe hata Budha, Wahindu nitamhabikia.

wewe na ukristo wapi na wapi???
 
Geneina (Al-Junaynah), Sudan Magharibi, watu 773 Waislamu Waafrika, (wengi vijana, wanawake na wazee) wameuwawa kwa kuchinjwa na Janjaweed (Sudanese Arab militia group). Nyumba zimechomwa moto, wengi wametekwa.

JANJAWEED (devils on horseback - mashetani juu ya farasi) ni washirika wa kimkakati wa mtandao wa wanamgambo katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini unaojumuisha HAMAS na HEZBOLLAH.

Huwezi kusikia ni habari kubwa Duniani. Huwezi kusikia waafrika na watanzania wakilaani mauaji hayo.
Lakini vifo vya wapalestina na watu wa Israeli vimewaumiza watanzania kweli hadi wametangaza maandamano ya kusimama na Palestina wengine Israeli. Nani atasimama na raia wa Geneina, Sudan Magharibi?

Geneina (Al-Junaynah) ni mji mkuu wa West Darfur na umeathiriwa na vita ya Sudan. Battle of Geneina (Geneina massacre) watu 5,000 wameuwawa kati ya 24 April na 24 June na watu 370,000 ni wakimbizi.

Huwezi kuona hashtag za kuhusu tukio hilo. Hazilipi. Haziwalipi wanaharakati mchongo wa kiafrika. Wakazi wa Geneina (Al-Junaynah) 98% ni waumini wa dini ya Kiislam. Waislam wa Tanzania hawasimami nao?
 



View: https://youtu.be/gmxrblkDnbc?si=thmz7kgzL1NRxVfl
 
Makene pale kenya kaua watu kama 100 ,Joshua kaua watu kibao upo kimya tu.

Wale waliuawa kwa ujuha wao, ila nyie mnafuata watu kuwalazimisha ujuha wa kumuabudu muarabu, ambaye ukiulizwa leo udhihirishe uwepo wake utashindwa.
 
Wale waliuawa kwa ujuha wao, ila nyie mnafuata watu kuwalazimisha ujuha wa kumuabudu muarabu, ambaye ukiulizwa leo udhihirishe uwepo wake utashindwa.
Ona ulivyokuea juha ule ujinga kwetu huwezi kufanya ...Hatupendi michezo ya kipumbavu..
 
Hakuna undugu wa mtu mweusi na mweupe ni ujinga wa mwafrika kujipendekeza tu.
Maana kila utakapoenda watakubagua tu. Iwe kwa WACHINA, WAZUNGU, WAHINDI AU WAARABU (Hawa wote ni MABINAMU na ndio maana wote Lao moja DHIDI YA MTU MWEUSI) wote Hao wanachukia watu weusi hata kama ukiwa dini sawa na wao.
 
Maana kila utakapoenda watakubagua tu. Iwe kwa WACHINA, WAZUNGU, WAHINDI AU WAARABU (Hawa wote ni MABINAMU na ndio maana wote Lao moja DHIDI YA MTU MWEUSI) wote Hao wanachukia watu weusi hata kama ukiwa dini sawa na wao.

Lakini ujinga uliokubuhu ni pale mweusi anamchinja mwesui mwenzake kisa dini ya muarabu, hebu soma hiki kisa cha magaidi wa dini walivyoteka basi la abiria na kuanza kuchinja kila asiye muislamu.... Bus passengers massacred
 
Na FaizaFoxy atakuja hapa kusema tunawaonea wajomba zake
 
Sasa ni zamu yao kuchinjwa na dunia isiingilie kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…