Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Usikimbie kwani kwenye biblia dola ya wayahudi ilimalizwa na nani hadi wakaenda utumwani miaka maelfu?
Dola la mwisho kuivuruga Israel lilikuwa Dola la Rumi.
Waarabu hawajawahi kuwatawala Wayahudi
Kwa kukusaidia, waliotawala Wayahudi
1. Ni Dola la Ashuru, ilikuwa ni eneo ambalo leo inatambulika kama Syria, Iraq, na Uturuki.
Ndio haohao wababiloni.
2. Waajemi au Persian
3. Wamedi au Persian magharibi
4. Wayunani ambao ni wagiriki
5. Warumi
Hao Babylonia walivamia Jerusalem mwaka 587 kabla ya kristo na wakauteketeza mji wakaondoka na wayahudi. Sasa sijui kwa definition yako watu wakutoka Iraq/Syria ya miaka hiyo ni waarabu au sio waarabu?
Sio Waarabu.