Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani

Usikimbie kwani kwenye biblia dola ya wayahudi ilimalizwa na nani hadi wakaenda utumwani miaka maelfu?

Dola la mwisho kuivuruga Israel lilikuwa Dola la Rumi.
Waarabu hawajawahi kuwatawala Wayahudi

Kwa kukusaidia, waliotawala Wayahudi
1. Ni Dola la Ashuru, ilikuwa ni eneo ambalo leo inatambulika kama Syria, Iraq, na Uturuki.
Ndio haohao wababiloni.

2. Waajemi au Persian
3. Wamedi au Persian magharibi
4. Wayunani ambao ni wagiriki
5. Warumi
Hao Babylonia walivamia Jerusalem mwaka 587 kabla ya kristo na wakauteketeza mji wakaondoka na wayahudi. Sasa sijui kwa definition yako watu wakutoka Iraq/Syria ya miaka hiyo ni waarabu au sio waarabu?

Sio Waarabu.
 
Kwahiyo Biblia inaposema wayahudi walitandikwa hadi wakatekwa kupelekwa Babylon ya kale na Assyria walikua wanadanganya?

Kwa hiyo kwa uelewa Wako Babylon ulikuwa mji wa waarabu?

Ninyi ndio mnasema mpaka wairan kuwa ni waarabu kwa sababu hamuelewi vizuri historia.

Miaka hiyo hata misri unayoiona hakukuwa na Muarabu.
 
Kudang
Kudanganyana huku. Huyo Yahudi mwenyewe kaja miaka baada ya Ibrahim.
 

Wayahudi wamepigwa na kutawaliwa na mataifa mengine mengi tuu ikiwemo Waafrika wa Misri ya Wakati huo sio misri ya leo ya waarabu.
Wametawaliwa na Roma, wagiriki, waajemi, na KUSHI lakini hawajawahi kushindwa na Waarabu.
 
Waarabu wamekuja lini?

Wayahudi ndio Waebrania wenyewe yaani watoto wa Ibrahim
Wayahudi wapi labda ? Hawa wakina Netanyuhlu sio wayahudi ....Hao ambao Hitler aliua zaidi ya million 6 tena miaka ya juzi hapa 1940 ....Wayahudi halisi hawana nguvu yoyote ndio maana walikuwa kama wakimbizi ...Hao unawaona ni settlers wana asili ya uzungu .
 

Kuwa na asili ya uzungu haimuondoi mtu kuwa Myahudi.
Kuna Wayahudi wenye asili ya kiafrika, wapo wenye asili ya kiarabu, wapo wenye asili ya kizungu. Wote ni Wayahudi.

Musa alizaa na muafrika. Unataka kusema watoto wa Musa sio Wayahudi kwa sababu wanaasili ya kiafrika?

Wayahudi hawana nguvu wakati ndio jamii pekee ambayo inaweza ku-trace vizazo vyao mpaka kuumbwa kwa ulimwengu.

Wayahudi ndio jamii pekee ambayo mipaka na nchi yao haijachorwa na mtu isipokuwa Mungu wao.

Jamii zingine zote ikiwemo wazungu, waarabu, Wachina na Waafrika wote nchi zetu tumewekewa mipaka na ramani.

Ukitaka kujua Wayahudi Wana nguvu au hawana nenda hapo Mashariki ya Kati uwaulize.
Kwa huku huwezi kujua Tena usipojua historia ndio hujui kabisa

Unasema Wayahudi hawana nguvu wakati Dini zote kuu tatu ikiwemo waislam wameiba na kunukuu visa vya mayahudi
 
Wayahudi hawana nguvu kama unavyfikria ile ni offshore europe , kwani huoni wanashiriki EUFA?

Hakuna ubishi wale sio asili , alishawahi kuuliza Rais wa Egypt akasema waliondoka weusi wakarudi weupe na hapo vita haitoisha ...Katika masimulizi na baadhi na ya kwenye biblia ni uongo kwa sababu majina hayana uhusiano wa pale mashariki ya kati .

Hakuna dini walianzisha hata ukitaka ushahidi tufungue vitabu , mayahudi walishindwa kufanya manipulation kweny Qur an ila biblia zamani sana ....Soma Qur an kwanza usiropke kwa story za jaba .


Dunia nzima ilimshtumu Hitler unajua kwa nn ? Kama ingekuwa ni waarabu unafikria wengepaza sauti

Wenzio mpaka leo hawana jibu la msikti wa pale jerusalem . Hitler alikuwa kama huyo Netanyhulu aliwatesa kaua wengi sana watu ambao walitaka kuleta Africa , nguvu wzitoea wapi ?
 
Ibrahim ni muebrania hajawahi kuwa Mkurdi
I
Wakurdi ni waarabu waliokuja huko baadaye
Ndio maana nilisha kwambia kuwa ww ni mweupe japo unajitia ujuaji mkuu.
Kama vitabu vyote vya historia vinaonesha Ibrahim alikuwa mkurdi kutoka Iraq kabla ya kuhamia kanani ww ni nani mpaka ubishe mkuu?

Alafu kingine hakuna uhusiano kati ya waarabu na wakurdi ni jamii mbili tofauti kabisa.
 
Mkuu uiburania sio asili bali ni kabila.

Ibrahim ndo mwanzilishi wa kabila la kihebrania lakini hakuwa myahudi bali alikuwa na asili kikurdi.
 

Lete hicho kitabu au andiko lolote hata ulilotunga wewe linaloonyesha Ibrahim alikuwa Mkurdi.

Ibrahim muebrania
Lugha alizozungumza, kiebrania na kiaramu.
Mwenyeji wa Uru ya ukaldayo (Iraq ya leo)
Aliyeanzisha taifa la Kiyahudi ambao mpaka leo wanaongea kiebrania.
 
Mkuu uiburania sio asili bali ni kabila.

Ibrahim ndo mwanzilishi wa kabila la kihebrania lakini hakuwa myahudi bali alikuwa na asili kikurdi.

Unaona unavyodata.

Muanzilishi wa kabila la Waebrania ni Eber mtoto wa Shemu, mjukuu wa Nuhu.

Hapo Iraq yametoka mataifa mengi sana.
Vitu kama hujui omba kuuliza.
 
Tatizo lako unachanganya kati ya asili na kabila hapa duniani hakuna asili inayo itwa waebrania bali kuna kabila linalo itwa waebrania.
 
Huyo Rais wa Misri yeye aliongea pengine kwa chuki, au kutokujua.

Kwa wanaofuatilia historia ya Dunia wanajua kuwa Wayahudi walikimbia hapo Israel kipindi cha Dola la Rumi.
Wengine walikimbilia Afrika, wengine walikimbilia, Asia, wengine walikimbia Ulaya wengine Matekani.

Unaweza Kutoa simulizi yoyote ya kwenye Biblia ambayo ni UONGO inayowahusu hao Wayahudi. Wakati Biblia imefupisha hizo simulizi. Ukisoma vitabu vingine utaona kilchozungumzwa kwenye Biblia kuwahusu Wayahudi ni kidogo sana. Na hii ni ili kufanya kitabu kisiwe kikubwa

Hakuna dini walianzisha hata ukitaka ushahidi tufungue vitabu , mayahudi walishindwa kufanya manipulation kweny Qur an ila biblia zamani sana ....Soma Qur an kwanza usiropke kwa story za jaba .

Uislam hauwezi kusimama bila Uyahudi. Robo tatu ya masimulizi ya Quran yanawahusu Wayahudi alafu useme uislam haujaanzishwa na Mayahudi.

Ni sawa na useme Ukristo hautokani na Mayahudi wakati robo tatu yote ya masimulizi ni Wayahudi.

Huyo Muhammad mwenyewe kwenye hiyo Quran ametajwa kidogo sana ukilinganisha na Mayahudi kama Yesu, Musa, Yusuph

 
Rudi shule kidogo acha kukaririshwa na wachungaji
Keshapigwa tena sio mara moja
 
Tatizo lako unachanganya kati ya asili na kabila hapa duniani hakuna asili inayo itwa waebrania bali kuna kabila linalo itwa waebrania.

Wewe ndio unachanganya na sidhani kama unaelewa hata maana ya neno asili na ukabila, utaifa na Races
 
Adam alikuwa myahudi ? Uislamu umeeleza kila kitu kama unabisha kaangalie tofauti zao ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…