Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani

Nani kasema Adamu alikuwa Myahudi?
Nimekuambia ukiwatoa Wayahudi kwenye Quran hicho kitabu kinabaki hakina maana yoyote Ile
Uislamu una historia kamili, mayahudi hata wale Iran ni miongoni mwa makabila ya wayahudi ....Kumetajwa makabila hata waarabu wana makabila tofauti.
 
Uislamu una historia kamili, mayahudi hata wale Iran ni miongoni mwa makabila ya wayahudi ....Kumetajwa makabila hata waarabu wana makabila tofauti.

Waajemi hawajawahi kuwa Wayahudi ila nakubaliana na wewe kuwa Kuna baadhi ya waajemi wanaasili ya uyahudi kutokana na intermarriage

Ni sawa ni kina MO hapa Bongo ni Watanzania wenye asili ya uhindi.

Uislam Hauna hiyo historia kamili. Ndio maana Kuna hadithi
 
unafeli ,unaulizwa harusi lini Au ushaoa?Ungejibu harusi bado Au Tayari ,Au Sijaoa.
Binti angefunguka zaidi.

Mada inaongelea mambo mengine mtu analeta mambo mengine.
Hilo swali angeuliza sehemu sahihi ningejibu sahihi
 
Ukisia shia ni mayahudi wote kiasilia ukifuatilia historia , wapo Arab jews , kuanzia Iran , yemen ndio maana hawa hawapatani na saudi hata baadhi ya taarifa ya vifo vyao waislamu wa saudia wanafurahi ....Kumbuka shia kashamdunda sana sunni ambao wengi ni Saudia, Oman, qatar
 
Wapo waajemi wenye asili ya Uyahudi.
Wapo Waisrael hapo Israel wenye asili ya Uarabu.
Wapo Hammas wenye asili ya Uyahudi lakini hapa tunaangalia wengi wao ni kina nani.

Wapo Wayahudi waislam, wapo Wayahudi wakristo, wapo Wayahudi Wayahudi. Na wapo Wayahudi wapagani ambao ndio hao LGBT
 
Hiyo message ni sawa na miaka kumi ijayo iseme Hammas walishinda vita Oktober 7.

Kumshambulia adui na kuanzisha vita sio kushinda vita Mzee
Soma uelewe kilichotokea siyo unaleta ushabiki hilo ni gazeti la israel likielezea walivyopigwa hadi marekani akaingilia ,wewe upo mbagala unaleta hadithi zako
 
Lete huo ushahidi.
Soma report kutoka american army press library wakiekezea israel alivyopigwa 2006 na hezbollah
Nakuletea authentic report kutoka kwa wao wenyewe hizi report siyo za waarabu au wachina ni za waisrael na wanarekani ambao ndio wanapigana pamoja
 
Attachments

  • Screenshot_20240928-113840_Drive.jpg
    345.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240928-114023_Drive.jpg
    500.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240928-114140_Drive.jpg
    83.8 KB · Views: 1
Soma uelewe kilichotokea siyo unaleta ushabiki hilo ni gazeti la israel likielezea walivyopigwa hadi marekani akaingilia ,wewe upo mbagala unaleta hadithi zako

Soma uelewe kilichotokea siyo unaleta ushabiki hilo ni gazeti la israel likielezea walivyopigwa hadi marekani akaingilia ,wewe upo mbagala unaleta hadithi zako

Ndio Nikakuambia Waarabu hawawahi kumshinda Myahudi.

Kwenye Vita Kuna Alliance.
Jews Wana genge lao Vs waarabu na genge Lao.
Hao Marekani ni genge la Mayahudi kwa sababu wanazozijua wao.
 
Sasa hapo ndio utaelewa kwa nn kuna mgomvi wa sunni na shia , basi tambua shia wengi ni jews na ndio wababe pale sio wapole miongoni mwao ni Iran , hata saudia hawezi kuingia ...Ukiwaona wanatumia kitabu kimoja ila wapo tofauti kwa sababu wanachanganya dini na tamaduni zao ...Jaribu kuangalia mavazi ya viongoi wa Iran na saudi ndio utaona tofauti .

Katika waarabu Israel alichapwa na Egypt maana wote wana historia ndefu .
 
Ndio Nikakuambia Waarabu hawawahi kumshinda Myahudi.

Kwenye Vita Kuna Alliance.
Jews Wana genge lao Vs waarabu na genge Lao.
Hao Marekani ni genge la Mayahudi kwa sababu wanazozijua wao.
Jews walipigana na wameshapigwa mara mbili na wao wenyewe wamekiri kama unavyoona kwenye source zao wenyewe ,sasa labda ukawasahihishe waisrael kuwaambia hawajawahi kupigwa sio mimi
 
MBULULA NI WEWE,NA KAFIRI NI WEWE
SIUUUUU
 
Mara kadhaa Myahudi akikutana na Mmisri anakaa
Jews walipigana na wameshapigwa mara mbili na wao wenyewe wamekiri kama unavyoona kwenye source zao wenyewe ,sasa labda ukawasahihishe waisrael kuwaambia hawajawahi kupigwa sio mimi

Sawa.
Ila Muhammad mwenyewe anawaita watoa roho
 
Ibrahim originality yake 2015 BC ,ni Uru wa wakaldayo ambayo ni Iraq ya leo. Huko Iraq alikotokea, kwa sasa wanaishi nani, waarabu au ?
 
Hata hitler pia alichoma watu kama kuku haya mambo ni swala la muda tu , muda ni mwalimu mzuri sana

Wayahudi ndio walimkalisha huyo Hitler

Yahudi humjui vizuri. Kamsome kwenye Quran n Hadithi za kiislam utamjua Yahudi ni nani hasa.
 
Ibrahim originality yake 2015 BC ,ni Uru wa wakaldayo ambayo ni Iraq ya leo. Huko Iraq alikotokea, kwa sasa wanaishi nani, waarabu au ?

Kwa mujibu wa Dini za Abraham yaani Uyahudi, Ukristo na uislam mataifa yalianzia Iraq
 
Wayahudi ndio walimkalisha huyo Hitler

Yahudi humjui vizuri. Kamsome kwenye Quran n Hadithi za kiislam utamjua Yahudi ni nani hasa.
Achana story za kijiweni, mtu kawachoma kama kuku hadi wakapoteana leo unaleta story za vijiwe vya bangi, embu mnapokuwa mnaongea humu ongeeni kama watu mlioenda shule sio vistory vyenu vya kudanganyana vijiweni na mnavyodanganywa na wachungaji wenu
Mtu ambae anapigana na mgambo mwaka mzima na kashindwa kumaliza vita wala kuwaokoa mateka unaona anaweza kitu gani, maana kieneo chenyewe ni kama kijiji tu na kashindwa kuwapata mateka zaidi ya 200 sasa anaweza kitu gani , aishukuru tu jumuia za nchi za magharibi kwa kumsaidia ila ni mweupe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…