Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani


Wewe ndio hujui hayo mayahudi ni nani
Kama ungejua Wayahudi ni nani ungejua sababu ya Hitler kuwaua zaidi ya milioni 6.

Sasa mwambie Iran mwenye Jeshi aingie uone vyuma.

Kina China,Russsia na mataifa makubwa yajua Mayahudi ni kina nani wewe na Waarabu ndio hamuelewi kwa sababu madarasa madogo
 
kama waliweza kupigwa mwaka 2006 watapigika tena tu, ngao yao ni marekani na nchi za magharibi ila hakuna wanachoweza, na waziri mkuu mstaafu wa israel anawajua hezbollah vizuri, kaonya israel iishie kurusha mabomu na ndege tu inazopewa na marekani na ulaya ila isithubutu kupeleka wanajeshi lebanon, huyu ni kiongozi mstaafubwa israel anaijua nguvu ya israel kuliko wewe
Nyie wa taifa teule mlioaririshwa na wachungaji hatuna cha kuwasaidia zaidi ya kuwaonea huruma kwa akili hizo
 


Kwa uelewa wako unafikiri Kwa nini Marekani inawakingia Kifua hayo mayahudi kuliko taifa lolote licha ya kuwa Mayahudi hayapo kwenye jumuiya za Magharibi?

Uwe unajiongeza.
 
Kwa uelewa wako unafikiri Kwa nini Marekani inawakingia Kifua hayo mayahudi kuliko taifa lolote licha ya kuwa Mayahudi hayapo kwenye jumuiya za Magharibi?

Uwe unajiongeza.
narudia tena tatizo lako ni elimu, marekani ana washirika wake na mipango yake ,hawazi kuhusu dini kama wewe ndio maana nchi za kiarabu ndio wanufaika wakubwa wa green card duniani
Marekani hana permanent friend or enemy ,but interests, ndio maana unaona juzi qatar imepewa visa waiver ya kuingia marekani,yani wanaingia marekani kwa kupewa 90 days visa on entry kama sisi watanzania tunavyoingia southafrica
marekani siku zote yupo after intetests na hata hilo taifa la israel ni amelianzisha yeye kwa maslahi yake middle east ila wewe mbugila unawaza ujinga wa dini
 
Wewe ndio unatakiwa usome uelimike hiyo miaka ya kuanzia 300AD Mpaka 1000AD Nchi ya Israel na viunga vyake ikiwemo Jerusalem haikuwa chini ya Utawala wa Mayahudi ilikuwa chini ya Dola la Rumi, chini ya Catholic church
.......

Hujui kitu. Nasisitiza usome vizuri historia.

Ni kweli Rashidun Caliphate hawakukuta utawala wa Myahudi ila baada ya waarabu kutawala significant population ya Kanaan ilikuwa ni Wayahudi ambao walianza kurudi kwa wingi hapo kanaan ... Hawa Wayahudi walikuwa wakifukuzwa hapo kanaan na utawala wa Wakristo ila alipokamata Mwarabu walianza kurudi maana waliruhusiwa kurudi na kuishi hapo.

Kumbuka Umayyad Caliphate ilisambaa kuanzia Spain mpaka India za leo. Wayahudi walitapakaa kote kwenye himaya hii kwenye maeneo ambayo sasa hivi ni Persia, Yemen, Maghrib( Morocco na Algeria), Tunisia, Libya pamoja na Spain yenyewe. Pia mpaka leo Wayahudi bado wanaishi kwenye maeneo hayo ya Waarabu..

Kwa hiyo elewa kuwa hao Wayahudi wako waliishi kwenye dola za kiarabu za Rashidun, Umayyad na Abbasid na walikuwa wakilipa Kodi maalum (JIzya).. Hii ni kwq sababu hawakuwa na nguvu ya kupigana na Mwarabu..

Kwa kukusaidia tu, Myahudi na Mwarabu hawajawahi kuwa maadui mpka ilipotengenezwa kitu kinaitwa ZIONISM.. Zionism ndio matokeo ya unachokiona leo kati ya Waarabu na Waisrael..
 
Wamebweteka na alah, wao wanadhani mud ni nabii wa ahadi, na Ishmael ni mtoto halali wa abraham

Hii elimu ya kutengeneza bado hajanngamua kuwa ni usanii tu

Hivi unawezaje kumshinda mtoto wa ahadi anayemwabidu Mungu aliye hai ukamshinda
 
Ni vile wamefanikiwa kuwatoa kwenye huo "uislam" ndo maana wanawaweza na wako confidence kufanya lolote...laiti waarabu wangeushika uislam vizuri Wala wayahudi wasingeshinda...
NB
Ushahidi uko wazi maana maeneo hayo yote mashariki ya kati hayakuwa na waislam bali ilikuwa miji ya non Muslim miaka na miaka...ni waislam hasa hasa kipindi cha mtume Muhammad na waliofuata baada yake ndo waliichukua hiyo miji yote mpaka sehemu za Spain huko..
 
Katika Dunia hii wenye akili no 1 ni mayahudi na ndo maana mitume wengi walitumwa maeneo Yao
 

Ni kwèli
 
Hivi mkisema neno "makafiri" mnamaanisha Nini?,maana ya Hilo neno Ni Nini???
 
-Mayahudi/Wayahudi.
-Waarabu/Maarabu.
-Watanzania/Matanzania.
Wapare/Mapare.🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…