Kama Waarabu wamepewa Bandari zote ina maana Bomba la mafuta ktk Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu fedha watachukuwa Waarabu? Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta ? Ikumbukwe bomba la ktk Uganda lita pump > 240 000 barrels/ day hii ni zaidi ya mafuta wanayopump baadhi ya opec members, think abou it, hii ni Vita Mwarabu anabomb Somalia sababu ya Mafuta na Gesi …