Waarabu kwa kula tu nimewanyooshea mikono

Waarabu kwa kula tu nimewanyooshea mikono

Wanayo hela ya mafuta kwahio wao kazi Yao ni kuuza mafuta na Kula tuu. Pesa kwao sio shida kubwa. Ndio maana waarabu weusi wengi huishia umasikini wanapojaribu kuiga maisha ya waarabu wa Asia. kwasababu hawa wa Asia wanakula kutokana na pesa inayopatikana na mafuta wakati huku kwetu hawana kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachafu Kama Nini [emoji21][emoji21][emoji21]

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Lakini bora wao, huku kwetu unywaji wa Pombe kwa kupokezana kile kilita, unasemaje? Maana kila mtu anaweka mdomowake pale.
 
Back
Top Bottom