Saudi Arabia iliundwa na majasusi wa uingereza akina Lawrence of Arabia
Jordan iliundwa na Uingereza
Israel iliundwa na Uingereza
Misri iko mfukoni mwa Washington
Kwa hiyo usitegemee hizi regimes kuinuka na kumpiga Israel, wakithubutu, watakutana na klichowakuta 1948, 1967 na 1967 basi bosi wao (USA + UK) ataingia upande wa Israel kuwachapa.
Watu huwa hawajui baada ya kuanguka Ottoman Empire, Mwingereza ndiye alizitengezeza Lebanon, Jordan, Iraq na Israel! Wanaposema Israel imetengenezwa huwa inashangaza wanapokaa kimya kuhusu Ukweli wa Historia.
Wengu huwa hawazungumzi kuhusu UN Resolution Partition 181 ya 1947. Two States zilitengenezwa, Arab States na Israel, Israel ikaikubali portion yao, Na Waarabu wakaikataa wakao haukuwa mgao mzuri, na wakaamua vita vya kujiunga pamoja mataifa matano (Lebanon, SYRIA, Iraq na Egypt, battalion ya Saudia ilipigana upande wa Egypt.
Vita vya 1948 vilibadli kabisa mgogoro huu na kuleta kitu kingine kabisa:
- Warabu walipoteza ile partition yao waliyopewa na UN 1947
- Kwa kuwashinda Waarabu, Israel ikajikuta imeongeneza maeneo yake pasipo kutarajia.
- Waarabu waliokuwepo hapo, kwa kutaka kwao, kwa kutoka kuwa chini ya Israel, kwa kufukuzwa na Israel baada ushindi, ikaanzisha Waarabu waliokimbilia uhamishoni, na miaka ya baadaye kujitambulisha kama Wapelestina!
Kiongozi mwandamizi wa PLO Zuheir Mohsen mwaka 1977, alisema wazi, hakuna taifa la Kipalestina....
- The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Waarabu wanaujua ukweli huu, ndio maana huwa hawana msukumo wa ndani wa hiyo "occupation" labda kwa sababu za imani tu!