Waarabu na Waislamu wanakwama wapi?

Huyu huyu Allah ambaye wakiuana wenyewe kwa wenyewe wanamtukuza Allah Akbar?
 
Usiwe miongoni mwa Brainwashed. Weka news kwa balance.. hiyo 1948 nini kilitokea na hizo vita nani alisababisha na nani alichapwa.. na lengo la Arabs ni nini? Kuna nchi zimegoma ujinga huu wa Uislam. Na zina uhusiano na Israel Israel ipo na itaendelea kuwepo na waarab wataendelea kuwepo.. arshi ile British aliigawa vizuri Arabs upande wa Jordan na Waisrael walipo now sasa yale mabaki ya Arabs upande wa Israel ndio wasumbufu.. mgogolo huu ni sawa na India British aligawa ardhi waislam na wahindu sasa Waislam walibaki upande wa wahindu wanaona kama wanaonewa
 
Nyani Gabu:

Zuheir Mohsen, kiongozi mwanamizi aliweka wazi alipojiwa na gazeti la Kidachi (Trow) Mwaka 1977. Kwa kifupi tu huu ndio msimamo wa Waarabu.....Hakuna Wapelestina.....wako hapo kwa strategic reasons:

  • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Huo ndio mtazamo wa ndani wa Waarabu wengi....Kwao hilo swala la occupation haliwasumbua wala kuwakosesha usingizi!
 
Watu huwa hawajui baada ya kuanguka Ottoman Empire, Mwingereza ndiye alizitengezeza Lebanon, Jordan, Iraq na Israel! Wanaposema Israel imetengenezwa huwa inashangaza wanapokaa kimya kuhusu Ukweli wa Historia.

Wengu huwa hawazungumzi kuhusu UN Resolution Partition 181 ya 1947. Two States zilitengenezwa, Arab States na Israel, Israel ikaikubali portion yao, Na Waarabu wakaikataa wakao haukuwa mgao mzuri, na wakaamua vita vya kujiunga pamoja mataifa matano (Lebanon, SYRIA, Iraq na Egypt, battalion ya Saudia ilipigana upande wa Egypt.

Vita vya 1948 vilibadli kabisa mgogoro huu na kuleta kitu kingine kabisa:

- Warabu walipoteza ile partition yao waliyopewa na UN 1947

- Kwa kuwashinda Waarabu, Israel ikajikuta imeongeneza maeneo yake pasipo kutarajia.

- Waarabu waliokuwepo hapo, kwa kutaka kwao, kwa kutoka kuwa chini ya Israel, kwa kufukuzwa na Israel baada ushindi, ikaanzisha Waarabu waliokimbilia uhamishoni, na miaka ya baadaye kujitambulisha kama Wapelestina!

Kiongozi mwandamizi wa PLO Zuheir Mohsen mwaka 1977, alisema wazi, hakuna taifa la Kipalestina....

  • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Waarabu wanaujua ukweli huu, ndio maana huwa hawana msukumo wa ndani wa hiyo "occupation" labda kwa sababu za imani tu!
 
Watu huwa hawajui baada ya kuanguka Ottoman Empire, Mwingereza ndiye alizitengezeza Lebanon, Jordan, Iraq na Israel! Wanaposema Israel imetengenezwa huwa inashangaza wanapokaa kimya kuhusu Ukweli wa Historia.

Wengu huwa hawazungumzi kuhusu UN Resolution Partition 181 ya 1947. Two States zilitengenezwa, Arab States na Israel, Israel ikaikubali portion yao, Na Waarabu wakaikataa wakao haukuwa mgao mzuri, na wakaamua vita vya kujiunga pamoja mataifa matano (Lebanon, SYRIA, Iraq na Egypt, battalion ya Saudia ilipigana upande wa Egypt.

Vita vya 1948 vilibadli kabisa mgogoro huu na kuleta kitu kingine kabisa:

- Warabu walipoteza ile partition yao waliyopewa na UN 1947

- Kwa kuwashinda Waarabu, Israel ikajikuta imeongeneza maeneo yake pasipo kutarajia.

- Waarabu waliokuwepo hapo, kwa kutaka kwao, kwa kutoka kuwa chini ya Israel, kwa kufukuzwa na Israel baada ushindi, ikaanzisha Waarabu waliokimbilia uhamishoni, na miaka ya baadaye kujitambulisha kama Wapelestina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…