Sio kwamba NATO wameamua kuja kivingine[emoji23]. Kwa sababu mbinu za zamani zinaanza kufeli. Mtahisi ni waarabu kumbe ni nato haohao
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Aliyekwambia waafrika ni watu wavita nani.Huku ndo utulivuni .Hivi Afrika kwanini tusiunde Umoja wetu wa kujilinda?
Hiyo alliance itakua funded by USAID au EU au SIDA😁😁😁Hivi Afrika kwanini tusiunde Umoja wetu wa kujilinda?