Waarabu ni watu wa ajabu sana. Kumbe Assad alikuwa ni wakala wa Mossad

Was Assad a Mossad agent.?

  • In all likelihood, he was.

    Votes: 3 42.9%
  • Yes he was.

    Votes: 4 57.1%

  • Total voters
    7

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

=================================================

Syrian President Bashar Assad, ousted by rebel forces on December 8, reportedly shared classified military information with Israel before fleeing the country, Turkish newspaper Hurriyet reported on Wednesday.

The report, later echoed by global outlets including Britain’s Daily Mail, claims Assad handed over documents detailing the locations of weapons stockpiles, missile launchers and military hangars.

The Hurriyet report claims that Assad received guarantees from Israel to ensure the safety of his escape route in exchange for the intelligence. "Judging by the precision of Israel’s strikes on Syrian military assets following Assad’s fall, it seems Israel received highly accurate information," the report noted.

Turkish commentator Abdulkadir Selvi provided additional details, claiming Assad fled Damascus for Moscow on the morning of December 8. Selvi reported that as opposition forces closed in on Damascus on December 7, a summit took place in Doha involving Turkish Foreign Minister Hakan Fidan, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov and Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi.

Source: Y Net News
 
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Usisahau kuwa kuna ombwe la kutaka influence kwa watawala wapya hapo syria kati ya Turkey, iran na western countries akiwemo mshirika wao israel so kila linajitokeza liangalie kwa macho ya kiufundi.

Mfano hicho ulichoandika source yake ina nasaba na turkey je vip kama ni mpango wao ku Undermine pontetial relationship btwn western/israel na Watawala wapya wa Syria huku yenyewe ionekane kuwa ndio "true Ally" wa HTS ambao walikuwa 100% againts Assad

Sikatai hiyo report ila Mgogoro wote wa Syria toka 2011 umekuwa na staili ya ku switch sides between all Players wakati mwingine players wanaform temporary alliances kwasababu wana common goals na wakat mwingine ni kwenye suala zima la win win situation

Mfano hiyo Issue ya Assad kuwa na contact na mossad inaweza ikawa "win win aituation" na sio kwamba alikuwa agent wao.. mathalan anaweza waka strike a deal na jews yeye akitaka kuhakikishiwa ulinzi hasa akikumbuka kilichowapata tryant wote wa Arab spring kina saddam na Ghadafi walipokamatwa na watu waliowapindua imagine HTs wangemkamata Asaad.. lakini pia Israel na yenyewe ilikubali huo ushirikiank sababu ikitaka intel flan kutoka kwa Assad hasa kuhusiana na Iran pengine.

Maana simply naamini israel ilikuwa na uwezo wa kumtrack na kumlengesha Assad kwa hao HTS au kuhakikisha hatoki Syria hadi Waasi wamkute wana na ujuzi na teknolojia ya kufanya hivyo pengine ndo maana Asaad akaona kuwa baada ya Russia na Iran kuonekana na wao hawana resources za kumlinda na kumsuport na akijua israel lengo lao sio yeye Assad akamatwe au sijui auwawe wao wanachotaka ni kui cripple Iran kwa kuhakikisha mirija yake ya pale Syria imekatwa basi kwao ni ushindi so kama ni kweli ilikuwa ni swala la "quid pro quo"
 
hizo ni conspiracy theories, ni sawa na binti apate mimba watakao dhaniwa ni wale ambao walikuwa karibu na binti, ila jibu analo mlengwa mwenyewe .
 
Aliye mtorosha Asad nchini Syria ni Urusi acheni ujinga.
 
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Hizo stor zenu za kwenye kashata hizo !
 
Ni stori za kumuita Mbwa jina baya maana utawaka wa Gaidi Jolani bado haujakubalika ipasavyo na wasyria na waislamu duniani
 
Umeweka poll kihuni. Pia tukumbuke kuwa utawala mpya wa Syria umeshutumiwa kusaidiwa na CIA na Mossad kwenye kwenye mashambulizi yao ya mwisho hadi kuingia ikulu. Kwa hiyo utawala huo unachofanya ni kujaribu kjisafisha kwa kumchafua Assad. Wala haihitajiki akili kubwa kufahamu kuwa ni propaganda dhidi ya Assad. Sasa hivi wataanza kumkumbuka.
 
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Sasa, katika habari yako hapo haujataja sehemu inayoonesha alikuwa wakala wa MOSSAD bali ulitakiwa useme alisaidiwa na Israel kutoroka.

Mimi navyohisi kutokana na kufuatilia siasa za kimataifa, kuna muda maadui wawili wa vita wanapopigana, mmoja anapozidiwa anaweza kutoa ombi la kukubali kushindwa na kupewa hata sharti la kufanya.

Kwa mfano, rais anaona kabisa majeshi yake yamezidiwa, anaweza kusema, anaachia nchi ila aruhusiwe kutoroka na kweli anaweza hata asirushiwe risasi.

Tukija kwenye ishu ya Assad, inawezekana kweli aliomba msaada Israel wa kutoroka nchi, hapo Israel ikaona ni vyema tu awapishe.

Inasemekana nchi kadhaa zilimtaka Gadafi aondoke Libya kwa kumsaidia lakini akakataa, ina maana alikuwa wakala wa nchi hizo? Vivyo hivyo kwa Saddam Hussein.

Kwahiyo usishangae Assad kuamua kuwapigia magoti Israel wamsadie kutoroka ikiwa alichagua kuendelea kuishi
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Ukistaajabu ya Firauni, utayaona ya Mussa.

Kuna taarifa za uhakika zinadai kuwa Ayatolla wa Iran ni wakala wa CIA.

Na ndio maana Marekani walizuia sana Israel wasilipue vituo vya Nyuklia wala vituo visima vya mafuta vya Iran.

cc Ritz
 
Usisahau kuwa kuna ombwe la kutaka influence kwa watawala wapya hapo syria kati ya Turkey, iran na western countries akiwemo mshirika wao israel so kila linajitokeza liangalie kwa macho ya kiufundi.

Mfano hicho ulichoandika source yake ina nasaba na turkey je vip kama ni mpango wao ku Undermine pontetial relationship btwn western/israel na Watawala wapya wa Syria huku yenyewe ionekane kuwa ndio "true Ally" wa HTS ambao walikuwa 100% againts Assad

Sikatai hiyo report ila Mgogoro wote wa Syria toka 2011 umekuwa na staili ya ku switch sides between all Players wakati mwingine players wanaform temporary alliances kwasababu wana common goals na wakat mwingine ni kwenye suala zima la win win situation

Mfano hiyo Issue ya Assad kuwa na contact na mossad inaweza ikawa "win win aituation" na sio kwamba alikuwa agent wao.. mathalan anaweza waka strike a deal na jews yeye akitaka kuhakikishiwa ulinzi hasa akikumbuka kilichowapata tryant wote wa Arab spring kina saddam na Ghadafi walipokamatwa na watu waliowapindua imagine HTs wangemkamata Asaad.. lakini pia Israel na yenyewe ilikubali huo ushirikiank sababu ikitaka intel flan kutoka kwa Assad hasa kuhusiana na Iran pengine.

Maana simply naamini israel ilikuwa na uwezo wa kumtrack na kumlengesha Assad kwa hao HTS au kuhakikisha hatoki Syria hadi Waasi wamkute wana na ujuzi na teknolojia ya kufanya hivyo pengine ndo maana Asaad akaona kuwa baada ya Russia na Iran kuonekana na wao hawana resources za kumlinda na kumsuport na akijua israel lengo lao sio yeye Assad akamatwe au sijui auwawe wao wanachotaka ni kui cripple Iran kwa kuhakikisha mirija yake ya pale Syria imekatwa basi kwao ni ushindi so kama ni kweli ilikuwa ni swala la "quid pro quo"
Daaah!!!!! Upo vzr. Umenikosha na last sentence kwenye last paragraph a latin maxim "quid pro quo" means "nothing goes for nothing" . Tulipenda kuitumia sana pale Udsm wakiwa wameishiwa boom yaani ilikuwa nipe nikupe. ILA CHUO RAHA SANA WE DID IT IMPLIEDLY NOT EXPRESSLY ( Tulifanya Kwa vitendo sio Kwa maneno). Yaani hutamki neno nipe nikupe ila atajiongeza tu mwenyew mwenye uhitaji.
 
Ila watu wanavyoiabudu Israel utadhani ni nchi yenye watu tofauti kabisa kwenye dunia hii,hivi wale walioishi kabla ya hivi vitabu viwili wao walikuwaje?katika vitabu hivi viwili kuna kimoja kimezidi sana poiojo
 
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Unaweka heading ambapo maelezo ya hoja hayajitoshelezi na mwishowe unaweka na poll kabisaa tukupe majibu ya hoja uliyoiibuamwenyewe.

Stress mbaya sana
 
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli ilipokea taarifa sahihi," ripoti hiyo ilibainisha.

Mchambuzi wa Kituruki Abdulkadir Selvi alitoa maelezo ya ziada, akidai Assad alitoroka Damascus kuelekea Moscow asubuhi ya Desemba 8. Selvi aliripoti kwamba wakati vikosi vya upinzani vilipokaribia Damascus mnamo Desemba 7, mkutano wa kilele ulifanyika Doha unaomhusisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Urusi. Waziri Sergey Lavrov na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi.

Tutajie mambo ambayo Assad kafanya kuwafavor Israel kama kweli alikuwa mtu wao
 
usipofahamu namna siasa za kimataifa zinavyoendeshwa aisee utakuwa mtu wa kuswagwa sana na upepo!

kwa kukusaidia, huyu muasi aliyemwondoa Assad ni myahudi kwa kuzaliwa (sio agent wa Mosad bali ni myahudi haswa, kwa kuzaliwa, Israel ni nchi ndio nchi yake,, somasoma utapata taarifa zake!

Russia na US wanaichezea hii dunia wanavyotaka, usidhani kuna kitu kitatokea eti US alikua hajui au Russia alikua hajui........ wahuni wanaelewa yote yanayoendelea duniani ndio mana China huwa anawaacha, haingilii ugomvi wao!

nikurejeshe nyuma kidogo,
mwaka 2014, US alitungua ndege ya Malaysia (mliambiwa imepotea mpk leo haijulikani ilienda wapi), by then Xi alikua ndio ametoka kupokea kijiti cha Uraisi wa China hivyo hakua na uwezo wa kureact dhidi ya kitendo kile cha US (maana raia wengi waliofariki walikua chinese),

guess what happened, ni Putin huyu huyu ndio alimshawishi Xi ajimilikishe South China Sea kama malipo (as US asinge-react mana alitaka kufichiwa aibu), and so it happened.... China akaanza kujenza visiwa artificial baharini kwa kasi sana, mpk leo lile eneo limekua kama lake!..

najua kuna wabishi watabisha kuhusunile ndege, nawashauri mkasome events zilizotokea ule mwaka mpk 2015, ruti za Obama Malaysia na China, nini China alifanya na coverup zilizofanywa.....
 
Back
Top Bottom