Waarabu wa Algeria CR Beluizdad waomba kutumia uwanja wa Mkapa dhidi ya Mamelodi Sundowns

Ni jambo jema.
Sasa sababu ni nini?
Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sawa bhana
 
Hao waarabu wakishatoka hapa wanaenda wapi au timu inahamia babati!? Kwa wairaqy wenzao!?
 
Mkuu nimecheka kwamba sisi ni shamba la bibi.
 
Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Serikali ndio mmiliki wa uwanja wa Mkapa, pía Serikali ndio mwenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nchini na nani asiingie

Swali langu ni je, wataruhusu mashabk kuingia uwanjani maana hao waarabu ndio wenyeji wa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…