rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Mkuu ulipitia boda ya nchi gani kufika hapo na vipi usumbufu wa vyeti vya corona
Acheni maneno yenu, jana tumeingia watu nne toka S. A
Movements zipo kama kawaida