Waarabu wa Algeria CR Beluizdad waomba kutumia uwanja wa Mkapa dhidi ya Mamelodi Sundowns

Waarabu wa Algeria CR Beluizdad waomba kutumia uwanja wa Mkapa dhidi ya Mamelodi Sundowns

Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
😂😂 Visit Tanzania yajibu
 
Sisi Wenye Nchi Tutaingiaa Bure au Tutalipia.Na Jezi je tunazipataje?. Mimi nakodisha kikundi cha kushangilia.asante.
 
Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria imependekeza kutumia uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar kwa ajili ya mchezo wao wa klabu bingwa Afrika(Caf Champions League) dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini Jumapili ya February 28. CR Belouizdad wamedai kuwa wamepata idhini kutoka TFF na sasa wanasubili maamuzi ya CAF kukubali mchezo huo kuchezwa Tanzania.
Screenshot_20210225-080609.jpg


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom