Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?Kama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini.View attachment 1708481
Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.Ni jambo jema.
Sasa sababu ni nini?
[emoji16][emoji16][emoji16]Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
Hao waarabu wakishatoka hapa wanaenda wapi au timu inahamia babati!? Kwa wairaqy wenzao!?Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
Kuna watu mmekaa kishari shari tu, sasa serikali isijue?Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
DahKuna watu mmekaa kishari shari tu, sasa serikali isijue?
Mkuu nimecheka kwamba sisi ni shamba la bibi.Mambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
Utopolo sijui watashabikia timu gani hapo, maana wao wana mahaba na timu za njeKama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini.View attachment 1708481
Game itakuwa tamu sana hii, wabongo tukajivinjari kwa Mkapa siku ya mechi tarehe 28.02.2020 tukiwa na barakoa zetu.
Serikali ndio mmiliki wa uwanja wa Mkapa, pía Serikali ndio mwenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nchini na nani asiingieWoga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Kidogo kidogo tanesco wanafanya Yao Unaskia kunguru wamekalia nyaya uckuGame inaanza 12 jioni kuna taa huko au mnatumia vibatari mechi za usiku?
Acheni maneno yenu, jana tumeingia watu nne toka S. AKaribu kirusi kipya toka South Africa