rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Acheni maneno yenu, jana tumeingia watu nne toka S. A
Movements zipo kama kawaida
😂😂😂 daahKuna litimu litaomba friend match [emoji196]
Ndiyo, sababu TFF hawana uwanja. Mkapa Stadium ni mali ya serikaliWoga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Kwani huo uwanja wa nani?Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Hata mimi nilikuwa najiuliza watapokea timu gani airportUtopolo sijui watashabikia timu gani hapo, maana wao wana mahaba na timu za nje
safi sanaKama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini.
View attachment 1708481
Game itakuwa tamu sana hii, wabongo tukajivinjari kwa Mkapa siku ya mechi tarehe 28.02.2020 tukiwa na barakoa zetu.
Uwanja wa Mkapa unamilikiwa na serikali siyo mali ya TFF.Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
😂😂 Visit Tanzania yajibuMambo ya Corona na protokali za kila nchi zinatofautiana, kumbuka Afrika Kusini ndio inasemekana ina kirusi kipya cha Corona (new variant) ambacho wametuletea mpaka sisi, sasa waarabu wanawaogopa hao jamaa hawataki hata wakanyage kwao, sisi ndio shamba la bibi hatukatai watalii.
Wata chaguaa upande wa senzo mpenda chipsUtopolo sijui watashabikia timu gani hapo, maana wao wana mahaba na timu za nje
Wacha ujingaUtopolo sijui watashabikia timu gani hapo, maana wao wana mahaba na timu za nje
Karantini siku 14 kwao ni lazimaHao waarabu wakishatoka hapa wanaenda wapi au timu inahamia babati!? Kwa wairaqy wenzao!?
Umemjibu kwa hekima kabisa.Hao waarabu wakishatoka hapa wanaenda wapi au timu inahamia babati!? Kwa wairaqy wenzao!?
Kwani ni uwanja wa TFF, ni waserikaliWoga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
hawataruhusu mashabiki kuingia uwanjaniKama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini.
View attachment 1708481
Game itakuwa tamu sana hii, wabongo tukajivinjari kwa Mkapa siku ya mechi tarehe 28.02.2020 tukiwa na barakoa zetu.