Waarabu wa Algeria CR Beluizdad waomba kutumia uwanja wa Mkapa dhidi ya Mamelodi Sundowns

Hivi yule Kocha wa Zamani wa Simba - Kishingo kwa sasa si ndio yupo kwenye hiyo timu ya Belouizdad?
 
N
Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Ni sahihi mkuu, haikuwa kwenye ratiba ya kuchezwa Bongo,Ni dharura,Ni ombi maalumu so lazima mamlaka zijue. Kwa hiyo ameweka records sawa kwa kuitaja serikali. Ina maana kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…