Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Kwanini wasicheze kwao? Au TZ kuna usalama zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni FAR RABAT FCHivi yule Kocha wa Zamani wa Simba - Kishingo kwa sasa si ndio yupo kwenye hiyo timu ya Belouizdad?
Ni sahihi mkuu, haikuwa kwenye ratiba ya kuchezwa Bongo,Ni dharura,Ni ombi maalumu so lazima mamlaka zijue. Kwa hiyo ameweka records sawa kwa kuitaja serikali. Ina maana kubwa.Woga mtupu, kwani lazima aseme wameshauriana na serikali?
Kama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini.
View attachment 1708481
Game itakuwa tamu sana hii, wabongo tukajivinjari kwa Mkapa siku ya mechi tarehe 28.02.2020 tukiwa na barakoa zetu.
Team mamelod hapa 🤘
"Visit Tanzania" waje waje kwa sharti la kutovaa jezi za njano na kijani,kama kweli wanataka suport ya King of the Jungle.
Tayari wamepoteza vigezoMamelody jezi zao ni njano n.k
Sawa Dada mvaa vjoraTimu yangu ni hii ya zwangendaba
Kama haipo group stage wakacheze na African sportsKuna litimu litaomba friend match [emoji196]