Waarabu walitaka kuharibu ushindi wa Netanyahu lakini bahati nzuri wameangukia Pua!!

Waarabu walitaka kuharibu ushindi wa Netanyahu lakini bahati nzuri wameangukia Pua!!

Ndiyo uone jinsi Wayahudi walivyo na utu na siyo wabaguzi kama waarab walivyowafukuza Wayahudi huko Mashariki ya kati kama Iraq, Iran, Libya, Misri n.k.

Lakini pia utambue ndani ya hivyo vyama vya Arab List kuna Waarab Wakristu na ni wabunge kupitia vyama hivyo kama Hadash na Balad. Hivyo next time ukisikia vyama vya Waarab Israel usidhani ni wavaa kobaz tu bali wamo Wakristu, Wadruze na Waislam.

Endelea kuugulia maumivu ya ushindi wa Netanyahu kiboko ya magaidi
Hitler alikua muarabu wawapi is 😁😁😁😁
Mnao sagana na kufirana munafuraaahi wenyewe mtetezi wenu yuhai!!!
 
Ila kawafurahisha sana wanao firana na kusagana 🤔
Netangahu ni right wing hana hayo mambo. Vyama vilivyo kwenye muungano wake hawakubalu huo ujinga ambao uko kwa hao ant Netanyahu unaowashabikia
 
Hitler alikua muarabu wawapi is 😁😁😁😁
Mnao sagana na kufirana munafuraaahi wenyewe mtetezi wenu yuhai!!!
Hitler roho mbaya ya kuchukia wayahudi alifundishwa na Mufti Amin Al Hussein
Bundesarchiv_Bild_146-1987-004-09A,_Amin_al_Husseini_und_Adolf_Hitler-350x265.jpg

Hitler akipokea maelekezo namna ya kuua wayahudi
 
Ila tuache uongo, Israel ni waungwana sana.

Najaribu kupiga picha tu kwamba ingelikua kwamba waisrael ndio waarabu na hao waarabu ndio waisrael sasa hivi waisrael wangekuwa wameshatoweka kitambo....!!!!

Inawezekana hao waisrael kweli ni wana wa Mungu na kweli ni taifa teule la Mungu, sio bure.

Why does a small country like this draw the attention of the whole world..!!?? This is unimaginable and utterly incomprehensible.
 
Mkuu ila mashehe na walimu wa madrasa wanaongoza kwa kufira wanafunzi wao hata hao mashoga wengi wanatoka huko ukobazin
Ila chakushangaza huko kwenu ndio munahalalisha kufirana na kusagana
Yaani kwenu kufirwana na kusagana ni haki ya binaadam ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni kukiuka haki ya binaadam
Kuwaelewa wavaa mbao inatakikanwa uwe kilaza kama wao au kuwazidi
Tena munawapa mpaka baraka yaaani 🙆🏿
 
Netangahu ni right wing hana hayo mambo. Vyama vilivyo kwenye muungano wake hawakubalu huo ujinga ambao uko kwa hao ant Netanyahu unaowashabikia
Anaewashabikia nani yaani niache kushabikia mambo ya maana nishabikie viongozi wa israhell utakua sio mzima
Israhell hata agombanie nani siwezi kua upande wake
Kama haungi mkono katika kipindi alichokua madarakani angepiga marufuku sherehe za wanaofirana na kusagana zinazofanyika israhell
 
Kumbe ya huku kwetu yapo mpaka huko?
Wizi wa Uchaguzi!
hakuna wizi kule,kilichotokea warabu wengi huwa jawapigi kura,wanazembea,matokeo yake vyama vyao vinakua havipati viti vingi bungeni,mwaka huu imekua tofauti,wamejitokeza kwa wingi kupiga kura,,
ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
 
Wewe hata hujui unachoongea, unaongea utafikiri uko Norway hauko Tanzania. Wewe unaamini kuna uchaguzi kweli unafanyika katika nchi hii.

Wagombea wa upinzani wanarudisha fomu wanakuta mkurugenzi hayupo keshajificha na mawakala wao nao wanafanywa hivyo hivyo na wengine wanafukuzwa kwenye vituo vya kupigia kura.

Rais wakati anafungua bunge anawaambia mimi ndio nimewaleta hapa, Magufuli aliwaambia na Samia naye aliwaambia hivyo hivyo.

Rais wa Tanzania ndiye anayeamua wapinzani gani waende bungeni na wangapi.

Nyie kama mnakosa cha kuandika muwe mnanyamaza na kusoma wengine wanayoandika.
 
ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
Kwa hiyo hujui kuwa kwa Tanzania ushindi wa uchaguzi hautokani na idadi ya kura bali maamuzi ya wezi wenye mamlaka?

Kauli ya Nape:
Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye boksi. Inategemea nani anahesabu na kutangaza..

View: https://youtube.com/shorts/OraayBtchzY?is=pSsmCmIoR26A9mBK
 
wayahudi walifukuzwa pia ulaya,ndo wakataka kuwapeleka uganda,ikafail,,mwisho wakawapeleka palestine
Hapakuwa kabisa na Wayahudi hapo Palestina kabla ya hao wayahudi unaosema walipelekwa kwenda hapo?
 
hakuna wizi kule,kilichotokea warabu wengi huwa jawapigi kura,wanazembea,matokeo yake vyama vyao vinakua havipati viti vingi bungeni,mwaka huu imekua tofauti,wamejitokeza kwa wingi kupiga kura,,
ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
Unaonekana leo umejinyea maana si kawaida yako, ndio unaona umeandika points za kutosha
 
sio kweli,kwani si mnaweka mawakala au?
Umemsikiliza Nape hapo kwenye clip?
Kati ya wewe na Nape aliyekwisha kuwa Katibu mwenezi Taifa wa Mbogamboga, na pia Waziri, ni nani anaujua ukweli kuhusu wizi wa kura unavyofanywa na ccm??
 
Back
Top Bottom