Waarabu walitaka kuharibu ushindi wa Netanyahu lakini bahati nzuri wameangukia Pua!!

Waarabu walitaka kuharibu ushindi wa Netanyahu lakini bahati nzuri wameangukia Pua!!

Wewe hata hujui unachoongea, unaongea utafikiri uko Norway hauko Tanzania. Wewe unaamini kuna uchaguzi kweli unafanyika katika nchi hii.

Wagombea wa upinzani wanarudisha fomu wanakuta mkurugenzi hayupo keshajificha na mawakala wao nao wanafanywa hivyo hivyo na wengine wanafukuzwa kwenye vituo vya kupigia kura.

Rais wakati anafungua bunge anawaambia mimi ndio nimewaleta hapa, Magufuli aliwaambia na Samia naye aliwaambia hivyo hivyo.

Rais wa Tanzania ndiye anayeamua wapinzani gani waende bungeni na wangapi.

Nyie kama mnakosa cha kuandika muwe mnanyamaza na kusoma wengine wanayoandika.
sikatai visa viwili vitatu vinaweza kutokea,ambavyo kimsingi haviwezi kuathiri matokeo mazima ya uchaguzi,,chadema acheni visingizio,wekeni mikakati mizuri mjenge chama,kutukana viongozi mtandaoni haiwezi kuwasaidia,miaka 30 toka sasa,mtakuwa bado mpo mitandaoni mnatukana na ccm watakuwa bado wako madarakani kwa ujinga wenu,dunia hainaga huruma,kama mnategemea kupata madaraka kwa huruma,sahauni
 
Huu uchaguzi umekuelimisha sema ndio umekaza fuvu hili usipoteze waumini wako wa kanisa la mabati,umetambua kama israel kuna hadi chama cha arab na kinatambulika
Hii kitu wengi hawaelewi. Wakisikia Israel wanafikiri ni nchi ya watu wa uzao wa Yakobo/Israel wa kwenye Biblia pekee.

Hawajui au hawataki kuamini kuwa hiyo ni nchi iliyoundwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1948 kwa msukumo wa wayahudi waliotokea Ulaya (Ashkenazi jews/zionists). Pia ina raia wa asili na dini mbalimbali. Kuna waarabu, wayahudi wa kiajemi na wayahudi wachache waliosalia toka enzi za karne ya 7 kurudi nyuma n.k. Kuna waarabu kwenye bunge la Israel miaka mingi tu.

Kuna miaka hao ashkenzazi jews waliambiwa wafanyiwe uchunguzi wa kinasaba kupima wanahusiana kiasi gani na uzao wa Yakobo wakakataa na kudai kuwa msingi mkubwa wa "uyahudi" wao ni imani katika dini ya Yuda. Wenzao waliosambaa maeneo ya Spain (sephardic jews), Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati pamoja na waliobaki Palestina (mizrahi jews) walishachunguzwa na kuonyesha nasaba kubwa sana ya uzao wa Yakobo.
 
Likud yadai uchaguzi 'uliibwa' na vyama vya Kiarabu, yataka uchunguzi kuhusu madai ya udanganyifu Ikidai uchaguzi wa jana "uliibwa" na vyama vya Kiarabu, chama cha Likud cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kinataka uchunguzi kutoka kwa polisi na Shin Bet kuhusu madai ya ulaghai na vitisho vya wapiga kura vilivyoenea.

"Uchaguzi nchini Israeli uliibwa na vyama vya Kiarabu vinavyounga mkono ugaidi na kuondolewa kwa taifa la Kiyahudi kupitia makosa makubwa ya jinai ya hongo, vitisho, vurugu, kughushi na matumizi ya programu haramu kuwahamasisha wapiga kura," inasisitiza chama cha Likud katika taarifa.

Vyama vya siasa vinavyoongozwa na Waarabu, Ra'am na Joint List, ambavyo vinashiriki katika kila uchaguzi na vinashikilia viti katika Knesset, vilipata idadi kubwa ya kura jana, na vinakadiriwa kushinda idadi kubwa ya kihistoria ya viti 19. Idadi hiyo ina maana kwamba kambi ya Netanyahu na vyama vinavyoongozwa na Wayahudi vinavyompinga havitakuwa na wingi wa viti katika Knesset.

Katika kampeni yote, chama cha Netanyahu kilisema ushirikiano na vyama vya Kiarabu ulikuwa kinyume cha sheria. Katika taarifa yake ya leo, Likud inasema inawapa polisi, Shin Bet, na Kamati ya Uchaguzi ya Kati "mamia ya ushuhuda" na ushahidi mwingine, ikiwa ni pamoja na "maelfu ya bahasha zenye pesa taslimu na hati za Ra'am, vitisho na vurugu dhidi ya wanachama wa kamati ya kura, wapiga kura wengi nyuma ya skrini ya kupiga kura, kupiga kura mara mbili, tofauti kati ya idadi ya bahasha na idadi ya wapiga kura, matumizi ya programu haramu ya uhamasishaji wa wapiga kura, na zaidi."

Likud inadai "uchunguzi wa kina" na majibu ya haraka kutoka kwa CEC kuhusu uchunguzi.

Mapema leo, katika mahojiano na Channel 12, afisa kutoka CEC alipuuza madai ya udanganyifu katika uchaguzi.
Muosha vyoo mimi nataka Netanyahu ashinde sababu awahi kuipoteza Israel kwenye Map

Kafanya nini kule Iran zaidi kuvizia viongozi wako wapi, a wakati ule vita ilikuwa haijanzai walijidai wanaongelea peace huyo ndio wakumsifu wakati Iran ameichafua vibaya Israel
 
Mbwa wewe leo ndiyo umejitokeza na kujifariji kwa maneno? Netanyahu ni kiboko cha Wafuga Midevu na majini
 
Mbwa wewe leo ndiyo umejitokeza na kujifariji kwa maneno? Netanyahu ni kiboko cha Wafuga Midevu na majini
Mwenzako na chukua PhD na wakati umri wangu upo 60+ we baki na kelele tu hapa nikiwa na time ndio naingia humu.

Netanyahu aliingia vita na Iran kwa target ya kuimaliza Iran na kupindua je aliweza mulize yeye na baba yake wanapitisha mafuta Hormuz

We utaishia kusafisha mavi ya mazionist tu
 
Now Iran is weaker than before and Israel is Stronger than ever
 
sikatai visa viwili vitatu vinaweza kutokea,ambavyo kimsingi haviwezi kuathiri matokeo mazima ya uchaguzi,,chadema acheni visingizio,wekeni mikakati mizuri mjenge chama,kutukana viongozi mtandaoni haiwezi kuwasaidia,miaka 30 toka sasa,mtakuwa bado mpo mitandaoni mnatukana na ccm watakuwa bado wako madarakani kwa ujinga wenu,dunia hainaga huruma,kama mnategemea kupata madaraka kwa huruma,sahauni
Huna hoja, wewe ni chawa tu kama chawa wengine.
 
Back
Top Bottom