Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hitler alikua muarabu wawapi is 😁😁😁😁Ndiyo uone jinsi Wayahudi walivyo na utu na siyo wabaguzi kama waarab walivyowafukuza Wayahudi huko Mashariki ya kati kama Iraq, Iran, Libya, Misri n.k.
Lakini pia utambue ndani ya hivyo vyama vya Arab List kuna Waarab Wakristu na ni wabunge kupitia vyama hivyo kama Hadash na Balad. Hivyo next time ukisikia vyama vya Waarab Israel usidhani ni wavaa kobaz tu bali wamo Wakristu, Wadruze na Waislam.
Endelea kuugulia maumivu ya ushindi wa Netanyahu kiboko ya magaidi
Netangahu ni right wing hana hayo mambo. Vyama vilivyo kwenye muungano wake hawakubalu huo ujinga ambao uko kwa hao ant Netanyahu unaowashabikiaIla kawafurahisha sana wanao firana na kusagana 🤔
Hitler roho mbaya ya kuchukia wayahudi alifundishwa na Mufti Amin Al HusseinHitler alikua muarabu wawapi is 😁😁😁😁
Mnao sagana na kufirana munafuraaahi wenyewe mtetezi wenu yuhai!!!
Ila kawafurahisha sana wanao firana na kusagana 🤔
Ila kawafurahisha sana wanao firana na kusagana 🤔
Mkuu ila mashehe na walimu wa madrasa wanaongoza kwa kufira wanafunzi wao hata hao mashoga wengi wanatoka huko ukobazinIla kawafurahisha sana wanao firana na kusagana 🤔
Ila chakushangaza huko kwenu ndio munahalalisha kufirana na kusaganaMkuu ila mashehe na walimu wa madrasa wanaongoza kwa kufira wanafunzi wao hata hao mashoga wengi wanatoka huko ukobazin
Kama anavyo fundishwa Turampet na MbsHitler roho mbaya ya kuchukia wayahudi alifundishwa na Mufti Amin Al Hussein
View attachment 3700509
Hitler akipokea maelekezo namna ya kuua wayahudi
Anaewashabikia nani yaani niache kushabikia mambo ya maana nishabikie viongozi wa israhell utakua sio mzimaNetangahu ni right wing hana hayo mambo. Vyama vilivyo kwenye muungano wake hawakubalu huo ujinga ambao uko kwa hao ant Netanyahu unaowashabikia
Wanagombania ardhiInahusiana na nini?
hakuna wizi kule,kilichotokea warabu wengi huwa jawapigi kura,wanazembea,matokeo yake vyama vyao vinakua havipati viti vingi bungeni,mwaka huu imekua tofauti,wamejitokeza kwa wingi kupiga kura,,Kumbe ya huku kwetu yapo mpaka huko?
Wizi wa Uchaguzi!
Wewe hata hujui unachoongea, unaongea utafikiri uko Norway hauko Tanzania. Wewe unaamini kuna uchaguzi kweli unafanyika katika nchi hii.hakuna wizi kule,kilichotokea warabu wengi huwa jawapigi kura,wanazembea,matokeo yake vyama vyao vinakua havipati viti vingi bungeni,mwaka huu imekua tofauti,wamejitokeza kwa wingi kupiga kura,,
ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
Kwa hiyo hujui kuwa kwa Tanzania ushindi wa uchaguzi hautokani na idadi ya kura bali maamuzi ya wezi wenye mamlaka?ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
wayahudi walifukuzwa pia ulaya,ndo wakataka kuwapeleka uganda,ikafail,,mwisho wakawapeleka palestineHitler roho mbaya ya kuchukia wayahudi alifundishwa na Mufti Amin Al Hussein
View attachment 3700509
Hitler akipokea maelekezo namna ya kuua wayahudi
sio kweli,kwani si mnaweka mawakala au?Kwa hiyo hujui kuwa kwa Tanzania ushindi wa uchaguzi hautokani na idadi ya kura bali maamuzi ya wezi wenye mamlaka?
Nape:
Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye boksi. Inategemea nani anahesabu na kutangaza..
View: https://youtube.com/shorts/OraayBtchzY?is=pSsmCmIoR26A9mBK
Hapakuwa kabisa na Wayahudi hapo Palestina kabla ya hao wayahudi unaosema walipelekwa kwenda hapo?wayahudi walifukuzwa pia ulaya,ndo wakataka kuwapeleka uganda,ikafail,,mwisho wakawapeleka palestine
Kumbe?Wanagombania ardhi
Unaonekana leo umejinyea maana si kawaida yako, ndio unaona umeandika points za kutoshahakuna wizi kule,kilichotokea warabu wengi huwa jawapigi kura,wanazembea,matokeo yake vyama vyao vinakua havipati viti vingi bungeni,mwaka huu imekua tofauti,wamejitokeza kwa wingi kupiga kura,,
ndo maana hata chadema mimi huwashauri,badala ya kupoteza mda mitandaoni kutukana matusi yasiyo na tija,wangekuwa wanajitokeza kupiga kura kwa wingi,leo hii wangekuwa na wabunge wa kutosha tu kubadili mwelekeo wa siasa
Umemsikiliza Nape hapo kwenye clip?sio kweli,kwani si mnaweka mawakala au?