Loooooooo tunajadili kuhusu Arabs okay mkuu, sisi tuendelee kusubiri ya kwetu yanayotugusaTunajadili ubovu wa waarabu world cup
Hivi hujui kwanini timu flani zinaanzia nyumbani na nyingine ugenini? Ok turudi kwenye mada maajabu ya nigeria world cup ni yepi? Huyo kameruni toka afanye maajabu mwaka 90 alishawahi kurudia tena?alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.
Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?Rekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu
Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Nawakubali sana watu mnaoukuja na dataNigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?
Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup
View attachment 2165043
Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal
Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco
Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo
Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.
Nitajie aibu aliyowahi kuifuta nigeria wc ambayo moroco au algeria wameishindwaRekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu
Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?
Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup
View attachment 2165043
Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal
Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco
Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo
Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.
Nitajie aibu aliyowahi kuifuta nigeria wc ambayo moroco au algeria wameishindwa
Nani awe nyumbani mara nyingi wanaangalia rank za timu kabla. Hata Ulaya Portugal kachezea nyumbani,Italia kachezea nyumbani kwa kuangalia rank dhidi ya mpinzani. Watu weusi wazee wa kujiliza liza hata pasipohusika. Playing victim
Hivi kuna tofauti gani ya perfomance kwenye World Cup kwa nchi za Africa?
Unaonekana hujui kitu.. kwa kukusaidia tu nimekuwekea timu zilizoshiriki kutoka Africa.
Cameroon: Wameshiriki mara 7.. Ukiacha kufika Robo fainali mwaka 1990 hawajawahi kuvuka makundi tena.
Nigeria: Wameshiriki mara 6 , wamevuka makundi mara mbili tu.
Ivory Coast: Hawajawahi kuvuka makundi.
Senegal: Wamevuka makundi mara moja tu
Morocco: Wamevuka makundi mara mbili.
Algeria: Wamevuka makundi mara mbili.
Ghana: Wamevuka makundi mara mbili.
Egypt: Wameshiriki kombe la Dunia mara mbili tu, hawajawahi kuvuka makundi.
Angola: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.
Togo: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.
Zaire: Wameshiriki mara moja tu., hawakuvuka makundi. Walifungwa goli 9-0 na Yugoslavia mwaka 1974.
Nchi nyingi za Africa hufanya vizuri mara ya kwanza wanaposhiriki Cameroon, Senegal walifika hatua ya Robo Fainali mara yao ya kwanza kushiriki i.e 1990 na 2002 respectively.
..
.
Ni timu gani ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali world cup
kwamba unakuta swali la fasihi linataka causes ww unaandika effects ,mitihani ilikua noma samaJadili mada hii,hapo utaleta mada ndani ya mada,au ndio ile unaulizwa causes wewe unaandika effects,utakula zero shekhee
Soma mada halafu nitajie ni lini nigeria walifika roboKuna timu ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali?
Umebadilisha hoja baada ya wadau kujibu hoja yako ya mwanzo juu ya "ubovu" wa waarabu.
Baada ya wadau kukujibu kwa data naona umebadili hoja..
Mfano
Cameroon kashiriki mara 7 kavuka mara moja tu makundi.
Algeria na Morocco wamevuka makundi mara mbili japo wameshiriki mara chache zaidi.
Wewe kwa upeo wako nani kati ya hao kafanya vizuri?
Soma mada halafu nitajie ni lini nigeria walifika robo
Hawana mafanikio zaidi ya kuishia group stageRekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu
Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Mimi nafikiri kila timu ishinde mechi zake afike WC, ubovu wa taifa letu kwenye soka ndio unasababisha kujadili wengineTumtoe nigeria tuingize Ghana, Cameroon na senegal
Timu gani za kiarabu zimewahi kufanya vizuri kuliko timu za waafrika?