Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.
Hivi hujui kwanini timu flani zinaanzia nyumbani na nyingine ugenini? Ok turudi kwenye mada maajabu ya nigeria world cup ni yepi? Huyo kameruni toka afanye maajabu mwaka 90 alishawahi kurudia tena?
 
Rekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu

Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?

Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup

World_cup_african_countries_best_results_and_hosts.png

Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal

Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco

Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo

Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.
 
Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?

Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup

View attachment 2165043

Nawakubali sana watu mnaoukuja na data
 
Rekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu

Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Nitajie aibu aliyowahi kuifuta nigeria wc ambayo moroco au algeria wameishindwa
 
Kuna timu toka uarabuni imewahi kucheza robo fainali?
Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?

Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup

View attachment 2165043

Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal

Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco

Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo

Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.
 
Nasema tena msifananishe manunguniko na ubaguzi. MTANZANIA HAKUWAHI KUWA MBAGUZI SI KWA WEUSI WENZETU WALA WAZUNGU NA WENGINEO.
 
Hivi kuna tofauti gani ya perfomance kwenye World Cup kwa nchi za Africa?

Unaonekana hujui kitu.. kwa kukusaidia tu nimekuwekea timu zilizoshiriki kutoka Africa.

Cameroon: Wameshiriki mara 7.. Ukiacha kufika Robo fainali mwaka 1990 waliposhiriki kwa mara ya kwanza, hawajawahi kuvuka makundi tena.

Nigeria: Wameshiriki mara 6 , wamevuka makundi mara mbili tu.

Ivory Coast: Hawajawahi kuvuka makundi.

Senegal: Wamevuka makundi mara moja tu

Morocco: Wamevuka makundi mara mbili.

Algeria: Wamevuka makundi mara mbili.

Ghana: Wamevuka makundi mara mbili.

Egypt: Wameshiriki kombe la Dunia mara mbili tu, hawajawahi kuvuka makundi.

South Africa: Wameshiriki mara mbili. Hawajawahi kuvuka makundi.

Tunisia: Hawajawahi kuvuka makundi.

Angola: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.

Togo: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.

Zaire: Wameshiriki mara moja tu., hawakuvuka makundi. Walifungwa goli 9-0 na Yugoslavia mwaka 1974.

Nchi nyingi za Africa hufanya vizuri mara ya kwanza wanaposhiriki Cameroon, Senegal walifika hatua ya Robo Fainali mara yao ya kwanza kushiriki i.e 1990 na 2002 respectively.
..
.
 
Kila likija kombe la dunia wanakuwa wamefunga?
Nani awe nyumbani mara nyingi wanaangalia rank za timu kabla. Hata Ulaya Portugal kachezea nyumbani,Italia kachezea nyumbani kwa kuangalia rank dhidi ya mpinzani. Watu weusi wazee wa kujiliza liza hata pasipohusika. Playing victim
 
Ni timu gani ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali world cup
Hivi kuna tofauti gani ya perfomance kwenye World Cup kwa nchi za Africa?

Unaonekana hujui kitu.. kwa kukusaidia tu nimekuwekea timu zilizoshiriki kutoka Africa.

Cameroon: Wameshiriki mara 7.. Ukiacha kufika Robo fainali mwaka 1990 hawajawahi kuvuka makundi tena.

Nigeria: Wameshiriki mara 6 , wamevuka makundi mara mbili tu.

Ivory Coast: Hawajawahi kuvuka makundi.

Senegal: Wamevuka makundi mara moja tu

Morocco: Wamevuka makundi mara mbili.

Algeria: Wamevuka makundi mara mbili.

Ghana: Wamevuka makundi mara mbili.

Egypt: Wameshiriki kombe la Dunia mara mbili tu, hawajawahi kuvuka makundi.

Angola: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.

Togo: Wameshiriki mara moja, hawakuvuka makundi.

Zaire: Wameshiriki mara moja tu., hawakuvuka makundi. Walifungwa goli 9-0 na Yugoslavia mwaka 1974.

Nchi nyingi za Africa hufanya vizuri mara ya kwanza wanaposhiriki Cameroon, Senegal walifika hatua ya Robo Fainali mara yao ya kwanza kushiriki i.e 1990 na 2002 respectively.
..
.
 
Ni timu gani ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali world cup

Umebadilisha hoja baada ya wadau kujibu hoja yako ya mwanzo juu ya "ubovu" wa waarabu.

Baada ya wadau kukujibu kwa data naona umebadili hoja..

Mfano

Cameroon kashiriki mara 7 kavuka mara moja tu makundi.

Algeria na Morocco wamevuka makundi mara mbili japo wameshiriki mara chache zaidi.

Wewe kwa upeo wako nani kati ya hao kafanya vizuri?
 
Jadili mada hii,hapo utaleta mada ndani ya mada,au ndio ile unaulizwa causes wewe unaandika effects,utakula zero shekhee
kwamba unakuta swali la fasihi linataka causes ww unaandika effects ,mitihani ilikua noma sama
 
Timu gani za kiarabu zimecheza robo fainali ya world cup?

Timu gani za kiarabu zimewahi kufanya vizuri kuliko timu za waafrika?
Umebadilisha hoja baada ya wadau kujibu hoja yako ya mwanzo juu ya "ubovu" wa waarabu.

Baada ya wadau kukujibu kwa data naona umebadili hoja..

Mfano

Cameroon kashiriki mara 7 kavuka mara moja tu makundi.

Algeria na Morocco wamevuka makundi mara mbili japo wameshiriki mara chache zaidi.

Wewe kwa upeo wako nani kati ya hao kafanya vizuri?
 
Rekodi za Nigeria, Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu

Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Hawana mafanikio zaidi ya kuishia group stage
 
Hawafanyi vizuri kwenye kombe la dunia, mwaka 2014 kule Brazil, Algeria walitolewa katika raundi ya 16 na mabingwa wa mwaka huo Ujerumani kwa goli 2-1 baada ya muda wa ziada dakika 120 kipindi hicho timu zingine toka Afrika kama Cameroon, Ghana, Nigeria na Ivory Coast zilitolewa kwenye ngazi ya makundi.

Timu za Afrika zilizowahi kuingia walau robo fainali ya kombe la dunia ni Cameroon (1990); Senegal (2002) na Ghana (2010).

Nigeria haijawahi kucheza robo fainali ya kombe la dunia, nafikiri kwenye raundi ya 16 wametolewa mara mbili 1994 na 1998 huku wakitolewa kwenye ngazi ya makundi mara nne.
 
Back
Top Bottom