Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

I will refrain from allowing other readers to draw parallel between me and you but what I know is that the Semitics are quite distinct from the Nilotic. I'm closing this argument as it is degenerating into a hot air thus losing logic.
 
Nani awe nyumbani mara nyingi wanaangalia rank za timu kabla. Hata Ulaya Portugal kachezea nyumbani,Italia kachezea nyumbani kwa kuangalia rank dhidi ya mpinzani. Watu weusi wazee wa kujiliza liza hata pasipohusika. Playing victim
Yaanj mwenye rank bora ndio anakuwa nyumbani? Yaani mwenye nacho anaongezewa?
Hii si inaua timu ndogo sasa
 
Waafrika tumepata wawakilishi timu tatu

Wavamizi wa africa wawili hawatuhusu waafrika
 
Haiindoi ukweli hawa waarabu ni mizigo watakuwa kucheza asia watuachie mpira wetu Africa

Hakuna timu la kiarabu limewahi nusa robo fainali
Alifika hatua ya 16 bora akakutana na Ujerumani, walipelekeshana sana wakatoka sare 0-0 dk 90

baada ya dakika 120 akapoteza kwa 2-1
Ujerumani ndio alikuja kuchukua kombe
 
Bora waende tu hawa manigga wenzetu hakika. Waarabu wanakua nyanya saana wakikutana na wazungu.
 
Haiindoi ukweli hawa waarabu ni mizigo watakuwa kucheza asia watuachie mpira wetu Africa

Hakuna timu la kiarabu limewahi nusa robo fainali
Zigo lako ni taifa stars tu huko kwingine ni kujiongezea matatizo, ya taifa stars yanakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…