Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Mbona huisemei Tanzania ambayo imekabidhi rasilimali zake kwa wageni wakati wenye kwenye lindi la umaskini
Mada inahusu waarabu, kuhusu Tanzania ni swala lingine na linahitaji kuwepo kwenye mada maalumu inayohusu mali za Tanzania
 
Hayo ndio mafundisho ya madrassat...!!
Vipi kuhusu Papa alivyowataka mashoga waende na waume zao kubarikiwa ndio yalikua ni mafundisho ya Kanisani hayo?

Baba Paroko alivyomnyofoa viungo mtoto mwenye ualbino,hayo ni mafundisho ya Kanisani?
 
Hayo ya papa na baba paroko yananihusu nini mimi.
 
Vipi kuhusu Papa alivyowataka mashoga waende na waume zao kubarikiwa ndio yalikua ni mafundisho ya Kanisani hayo?

Baba Paroko alivyomnyofoa viungo mtoto mwenye ualbino,hayo ni mafundisho ya Kanisani?
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-213406.jpg
    Screenshot_20240817-213406.jpg
    306.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom