Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.

Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.

Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
 
Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.

Ungemkuta Mohamed Kitambi au Hassan Kifikunoga akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.

Waafrika huwa wanakuwa wapumbavu sana kwenye imani. Huwa wanaamini mpaka wanakuwa mafala hawatumii hata akili. Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
View attachment 3255582
Sasa chui na mbwa wapi na wapi
 
Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.

Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.

Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
View attachment 3255582
Hamna watu wajinga kama Wazenji
 
Mnafeli kuwashambulia waarabu kumbe wote sio waislamu na hayo kama kweny dp yako ni mavazi tu ...Just imagine kama kungekuwa na filamu yenye picha Mtume ,ni jinsi gani mngeandaa vibonzo vya matusi.

Inaweza hata mfalme wa saudia pia asiwe muislamu kwa sababu viongozi wa kiislam wapo msikiti wa Meccah .

Wakifanya hivyo unawasifia kwa kuuponde uislam ,ukisikia mdada wa kazi kauliwa bado utatuka waislamu tena. WE NI MKRISTO USIYEJIAMINI BASI INSTEAD YA KUFUNDISHA YA DINI YAKO UNAPOTEZA MUDA KUFUATILIA YA WENGINE.

Italy yote sio wakristo ila pale Vatican ni sehemu patakatifu kwa imani yao kama ilivyo meccah.
Kwa wanyama ambao hawaruhusiwi ni kwamba hawapo kabisa katika mji kiislam ,huwezi kuingia kwa namna yoyote ile.​
 
Chuki za kidini zinawapa upofu.

1. Huyo duma sio mbwa
2. Sio jambo akifanya muarabu ndio halali kwenye dini.
 
Kwanza huyo ni duma aka cheetah wala siyo chui yule ambaye ni mkali, huyo siyo aggressive kwahiyo ni rahisi kumfunza/kumzoesha kuishi na watu kuliko chui wa kawaida aka leopard.

Pili kwenye swala la watu kumwepuka mbwa hakuna uhusiano wowote na akina chui. Chui siyo mbwa hivyo unapaswa kuelewa kwamba kwenye uislamu aliyeambiwa najisi katika wanyama ni mbwa na nguruwe na si vinginevyo

Tatu ni kwamba dini yetu ya kiislamu haiendeshwi kwa kuangalia waarabu wanafanya nini au wanasema nini wala haiangalii watu wanapenda/wanafanya nini. Kwa ufupi tu ni kwamba UISLAMU SI YALE WANAYOFANYA WATU HATA KAMA NI WAISLAMU bali UISLAMU NI YALE YANAYOTAKIWA KUFANYWA NA WAISLAMU. NI SHARIA INASEMAJE NA SIYO MATAMANIO YA WATU
 
Back
Top Bottom