Mnafeli kuwashambulia waarabu kumbe wote sio waislamu na hayo kama kweny dp yako ni mavazi tu ...Just imagine kama kungekuwa na filamu yenye picha Mtume ,ni jinsi gani mngeandaa vibonzo vya matusi.
Inaweza hata mfalme wa saudia pia asiwe muislamu kwa sababu viongozi wa kiislam wapo msikiti wa Meccah .
Wakifanya hivyo unawasifia kwa kuuponde uislam ,ukisikia mdada wa kazi kauliwa bado utatuka waislamu tena. WE NI MKRISTO USIYEJIAMINI BASI INSTEAD YA KUFUNDISHA YA DINI YAKO UNAPOTEZA MUDA KUFUATILIA YA WENGINE.
Italy yote sio wakristo ila pale Vatican ni sehemu patakatifu kwa imani yao kama ilivyo meccah.
Kwa wanyama ambao hawaruhusiwi ni kwamba hawapo kabisa katika mji kiislam ,huwezi kuingia kwa namna yoyote ile.