Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sasa chui na mbwa wapi na wapiWaarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.
Ungemkuta Mohamed Kitambi au Hassan Kifikunoga akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.
Waafrika huwa wanakuwa wapumbavu sana kwenye imani. Huwa wanaamini mpaka wanakuwa mafala hawatumii hata akili. Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
View attachment 3255582
Well saidDini haiangaliwu watu wanafanya nn... Dini Ni maamrisho na makatazo yaliandikwa kwenye Qur'an na sio watu wa jamii fulan
Na haibadiliki kamweDini haiangaliwu watu wanafanya nn... Dini Ni maamrisho na makatazo yaliandikwa kwenye Qur'an na sio watu wa jamii fulan
Nashangaa hata mimiSasa chui na mbwa wapi na wapi
Hamna watu wajinga kama WazenjiWaarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.
Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.
Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao ni Waarabu kuliko Waarabu, ni Wayahudi kuliko Wayahudi.
View attachment 3255582
🤣🤣🤣Sasa chui na mbwa wapi na wapi
HeheheNashangaa hata mimi
Chizi maarifa huyo!!!
Well saidChuki za kidini zinawapa upofu.
1. Huyo duma sio mbwa
2. Sio jambo akifanya muarabu ndio halali kwenye dini.