Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

Chuki za kidini zinawapa upofu.

1. Huyo duma sio mbwa
2. Sio jambo akifanya muarabu ndio halali kwenye dini.
Wewe ndo umeleta chuki za kidini. Kuna mtu ametaja Dini hapo? Muwe mnatumia akili na elimu duniya inasaidia.
 
Dogo kuna sehemu imetajwa Dini yoyote hapo? Mnafail sana kujishuku na kukosa common sense. Mna inferiority complex to the highest stage.
 
Dogo kuna sehemu imetajwa Dini yoyote hapo? Mnafail sana kujishuku na kukosa common sense. Mna inferiority complex to the highest stage.
Dogo tuliza kalio , hauna kazi za kufanya mpaka ufautilie mambo ya wengine.
 
Zanzibar hawawezi kufanya huu upuuzi. Watapigika
 
You are a fool if you believe that is a "Chui"
 
Duma hanaga noma... hata huko mbugani huwa rafiki sana kwa watalii
 
Wakina Mbonde Wanagombania Dini Zao, Haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…