Waarabuni hutumia Islam to colonize countries kama vile wazungu walivotumia Ukristo

beatiful thing about islam vs christianity debates ni kwamba imani zote zilihusisha ukandamizaji huko awali, kwa hilo hakuna wa kujifanya mbora kuliko mwengine

ndio maana wenye busara zao wakasema kuamini na kutoamini ni haki ya binadamu kila mtu afuate imani zake kivyake
 
halafu pia si ni lengo la wakristo kufanya dunia nzima iwe wakristo pia, au we mwezetu wakristo gani gani hao uwajuao wasio na ajenda ya kuusambaza ukristo kama tu waislamu watakavyo uislamu usambae
Yes, lakini sio kwa upanga na kutishia watu kuwaua wanapotaka kuhama dini.
 
Apologist excuses.
 
Yes, lakini sio kwa upanga na kutishia watu kuwaua wanapotaka kuhama dini.
hayo ya kutishia watu wakihama dini sijui upanga, hayo yote yanatokana na tafsiri za kibinadamu, ila Quran yenyewe ipo very clear kuwa dini ni kitu cha hiyari, kwa maana hata uislamu ulipoanza waislamu walipigwa vita na kuuwawa na waarabu waliokuwa na dini nyenginezo za asili, ila waislamu kwa hiyari walibaki na uislamu wao, hadi pale kwa rehema za mwenyezi Mungu akawasaidia wao waislamu wakashika mamlaka ya maeneo yote ya makabila ya kairabu.

kwahiyo waislamu walipigana kupinga udhalimu wa makabila ya kiarabu kupinga waislamu kuabudu Mungu kwa imani yao

same way kama warumi walivyopinga wakristo wa mwanzo na baadae wakristo wakafanikiwa kuiweka Roma chini ya ukristo.

sasa hayo ya upanga kusambaza dini huko baadae hayo yapo kwenye ubinadamu sasa, na jinsi watu wanavyotafsiri vifungu vya Quran, ambavyo kwanza vingi vilishuka kwa muktadha maalum, inabidi mtu aelewe kwanini viliandikwa kama vilivyoandikwa katika Quran, sio kuvitafsiri tu vyenyewe bila kujua stori yake yote katika hiyo Qurani,

ni kama biblia ilivyojaa aya za kuagiza waisraeli wapigane kikatili kabisa na wafilisti, ambapo ilikuwa kwasababu, wale walifanya imani za kukufuru na dhambi na huku wakipinga waisraeli, sasa pata picha mtu atumie aya hizo hizo aseme ukristo umeruhusu kuua, si kweli, kwa maana vile vifungu bipo kwa sababu ya yaliyoteka wakati huo, same na Quran aya za kisapoti Jihad zilishushwa kulingana na hali waliyopitia waislamu wakati huo dhidi ya waarabu waliofuata dini za makabila yao badala ya uislamu

pia kwenye harakati za kusimamisha dola zao na dini zao watawala wengi, hufikia hatua ya kutumia huo upanga, ila si kwamba dini hasa ilisema tumia upanga kusambaza dini, bali sasa ni utashi wao, na wanatumia hizo aya za Quran kujustify matendo yao, same hata watawala wa kikristo wengi katika historia walitumia biblia kujustify maovi yao
 
Apologist excuses.
thats your view, but as a muslim, i have my own perspective as how i see things, thats why i am still a mislim, and you have your own perspective of things thats why you are still a christian and not muslim

ndio maana suala la imani suala binafsi, kila mtu ana mtazamo wake na jinsi aonavyo upande wake ni sahihi

dini ni hoja, waislamu tuna hoja zetu, na nyinyi mna zenu, na sisi tunajua tuko sahihi kama mjionavyo nyinyi, na sisi tunaona nyinyi bado hamjui kitu na mmepotea kama nyinyi mtuonavyo sisi

dini ni suala mtambuka ndugu yangu lila mtu aamini yake
 
same way kama warumi walivyopinga wakristo wa mwanzo na baadae wakristo wakafanikiwa kuiweka Roma chini ya ukristo.
Kuna mambo mengi hapo juu umeandika ambayo hayaendani kabisa na historia ya jinsi uislamu ulivoanza na historia ya muhammad, lakini kwa sababu hata nikivisema bado itakuwa ni mitazamo ya wanahistoria, kwa sababu nyie waislamu hamuamini historia yeyote ya uislamu ambayo iko nje ya Qur'aan na hadith zenu hata kama ni authentic, bac kwa hilo ngoja nisiyaseme.
Lakini hilo swala hapo juu nililo-qoute umedanganya wanajukwaa, wakristo hawajawahi kuiweka rome chini yao, rome adapted Christianity, soma historia ya Mfalme wa roman empire Constantine ambaye alibadili dini kuwa mkristo na warumi wote baadae wakamfatisha, Romans killed christians brutally(soma history of the colosseum) ukisema christians walifanikiwa ukiweka rome under their grasp wanahistoria watachanganyikiwa kwasababu Christianity was very weak back then, kiufupi that was impossible, rome walikuwa na miungu yao na Jews walimkataa yesu, so they were helpless.
Kilichomfanya Constantine awe mkristo ni story ndefu ambayo haina maana hata nikiizungumzia, ipo nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…